Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 02

Daily Archives: May 2, 2018

GGM na TACAIDS kuzindua Kilimanjaro Challenge 2018

IMG_5536

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto)  akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa zoezi la upandaji wa Mlima Kilimanjaro  (Kilimanjaro Challenge 2018), litakalo kwenda sambamba na kuendesha harambee kuchangisha fedha  kwa mwaka 2018 kwa ajili ya kusaidia mapambano ya kudhibiti ugonjwa wa UKIMWI nchini. …

Read More »

GCLA Watakiwa Kuandaa Mkataba wa Utoaji Huduma

????????????????????????????????????

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndegulileakisisitiza jambo mbele ya Bodi Tendaji ya Kwanza ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mku na viongozi wengine wa Srikali wakati wa uzinduzi wa Bodi Tendaji ya Kwanza ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu. ………….. Na …

Read More »

STARTIMES KURUSHA NA KUTANGAZA KOMBE LA DUNIA KWA KISWAHILI

IMG_1213

  *Kutumia lugha ya Kiswahili katika kuutangaza   KAMPUNI ya Star Media (T) Ltd yenye chapa ya StarTimes imetangaza rasmi kurusha matangazo ya Kombe la Dunia Urusi mwaka 2018 Mubashara kupitia king’amuzi chake. StarTimes imethibitisha kuonesha michuano hiyo leo katika hafla fupi iliyofanyika Terrace, Slipway Masaki jijini Dar es Salaam …

Read More »

LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KUANZA KUTIMUA VUMBI MEI 6,2018

D

Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) inatarajia kuanza kutimua vumbi kuanzia Jumapili Mei 6 na kumalizika Mei 22,2018 kwenye vituo vinne. Ligi hiyo ya RCL itashirikisha timu 28 zilizogawanywa kwenye makundi manne kwenye vituo vya Geita,Singida,Rukwa na Kilimanjaro na kila kundi kwenye kituo likiwa na timu 7. Kila kundi litapandisha timu …

Read More »

APPLICATION FOR ADMISSION INTO DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2018/2019

NEMBO YA TAIFA

  THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA         MINISTRY OF AGRICULTURE APPLICATION FOR ADMISSION INTO DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2018/2019   The Permanent Secretary Ministry of Agriculture is officially announcing applications for admission into Diploma and Certificate programmes offered at the Ministry of Agriculture Training …

Read More »

WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Picha no.4

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika  maandamano ya  maadhimisho ya sherehe ya  siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa jana  katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam. Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa  maadhimisho ya sherehe ya …

Read More »

VIDEO: SERIKALI YAANDAA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA KUENDELEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

PIX 1

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Mboni Mgaza akielezea dhumuni la Serikali kushirikisha wadau katika kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kuandaa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module” kwa …

Read More »

RT YATAJA TAREHE MPYA MBIO ZA AFRIKA

GIDABUDAI

Shirikisho la riadha Tanzania (RT) limeeleza kusogeza mbele mashindano ya Afrika ya riadha ya kanda ya tano kwa vijana. Awali mashindano hayo yalipangwa kufanyika kesho Ijumaa na Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam lakini sasa yamesogezwa hadi Juni 29 na 30 uwanjani hapo. Umauzi huo umetokana na …

Read More »

MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA

DSC_9606

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipowasili  Skuli ya Sekondari ya Jumapindua Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo kwa katika Mkutano wa Mabalozi  wa Wilaya …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO MEI 2,2018 JIJINI DODOMA

Pix 1 Mwenyekiti Chenge

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha ishirini  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakijadili jambo wakati wa  kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Naibu …

Read More »

Msekwa Apongeza Utendaji wa Rais Magufuli

index

Jonas Kamaleki-MAELEZO Spika wa Bunge mstaafu, Mhe. Pius Msekwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anafanya kazi vizuri katika kuiletea nchi maendeleo hasa kwa kulinda na kusimamia rasilimali . Msekwa alisema hayo jana katika mahojiano na shirika moja la utangazaji la kimataifa yaliyofanyika …

Read More »

WABUNGE WAIPONGEZA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI

a

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (aliyesimama) akifafanua hoja za wabunge kwenye semina ya Sekta ya Uvuvi kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Katikati Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Kilimo, Mifugo na Maji, Mahmoud Mgimwa na kushoto Katibu Mkuu Uvuvi, Dkt. Yohana Budeba.(Picha na …

Read More »

SHANGWE ZA UZINDUZI WA COPA UMISSETA ZANZIBAR

ZNZ+PHOTO+1

Mashindano ya shule za sekondari ya Copa Umisseta, yalizinduliwa Zanzibar kwa shamrashamra mbalimbali za michezo na burudani katika uwanja wa Aman na kuhudhuriwa na viongozi wa serikali,wadau wa michezo na wanafunzi wa shule za sekondari na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohamed Mahmoud. Mkuu wa …

Read More »