Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 04

Daily Archives: May 4, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU –IFAKARA YENYE KM 66.9 PAMOJA NA DARAJA LA MTO RUAHA KATIKA ENEO LA NYANDEO KIDATU

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy kushoto  na Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer kulia kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya …

Read More »

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wauaga Mwili Wa Mfanyakazi Mwenzao Ni Daktari Bingwa Wa Usingizi Kwa Watoto Na Wagonjwa Mahututi Aliyefariki Tarehe 02/05/2018

Picha no. 1

Wafanyakazi wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mfanyakazi mwenzao ambaye ni Daktari bingwa wa usingizi kwa watoto na wagonjwa mahututi Onesmo Mhewa aliyefariki  tarehe 02/05/2018 jijini Dar es Salaam. Dkt. Onesmo anatarajiwa kuzikwa kesho  tarehe 5/5/2018 katika  kijiji cha Nzihi kilichopo  Iringa vijijini. …

Read More »

WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO WAHITIMISHA AWAMU YA KWANZA YA UANDAAJI WA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA ILI KUENDELEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO KAZI WA KITAIFA WA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO

Pix 1

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Mboni Mgaza akifunga awamu ya kwanza ya  kikao cha wataalam na wadau wa maendeleo ya Jinsia katika kuandaa kitini cha kufundishia masuala ya Jinsia “Gender Module” kwa ajili ya …

Read More »

MKUTANO WA MABALOZI WILAYA YA WETE PEMBA

DSC_1215

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kulia) akiwa na Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania Mhe.Thuwaiba Anton Kisasi wakiangalia ratiba mara walipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Jamhuri Hall Wete Mkoa wa Kaskazini  Pemba katika mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Wete uliofanyika jana mgeni rasmi alikuwa …

Read More »

KARIA ATIA UBANI MICHUANO YA LIGI YA MABINGWA WA MIKOA

index

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Wallace Karia amezitakia kila la heri timu zote 28 zinazoanza kibarua cha kutafuta nafasi ya kupanda daraja kutoka katika Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) inayotarajia kuanza Mei 6 na kumalizika Mei 22,2018 kwenye vituo vinne. Karia amezitaka timu zote kupambana uwanjani na wachezaji …

Read More »

SHIME KOCHA MPYA KILIMANJARO QUEENS

PIX 3 (13)

KOCHA wa JKT Tanzania, Bakari Shime ameteuliwa kuwa kocha Mkuu wa kikosi cha timu ya Tanzania Bara(Kilimanjaro Queens) kitakachoshiriki katika mashindano ya Cecafa ya Chalenji kwa Wanawake yatakayofanyika nchini Rwanda. Shime atasaidiwa na Edna Lema kocha msaidizi na Eliu Terry kocha wa makipa. Kikosi hicho cha Kilimanjaro Queens kinaingia kambini …

Read More »

WAZIRI MWIJAGE AKABIDHI TUZO ZA RAIS ZA VIWANDANI (PMAYA)

001

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akimkabidhi Tuzo ya Mshindi wa jumla Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL Group, Roberto Jarrin, wakati wa hafla ya Tuzo za 13 za Rais za Viwandani, (PMAYA) iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini DaresSalaam, jana WAZIRI wa Viwanda, Biashara na …

Read More »

Wanachuo Wa UDOM Wajitolea kujenga Nyumba Ya Huduma Ya kiroho

paulomsalaba_300_172

Na Mahmoud Ahmad,DODOMA. WANANCHI mkoani hapa wametakiwa kuwa na moyo wa kujitolea kushiriki katika shughuli mbali mbali za kimaendeleo ili kuharakisha ukuaji wa uchumi tarajiwa.   Hayo yamesemwa jana na Padre wa kanisa katoliki,Parokia ya Chuo kikuu cha Dodoma Deus Mulokozi wakati akishiriki katika ujenzi wa nyumba ya mapadre wa …

Read More »

Serikali Kuhakikisha Mbolea Inawafika Wakulima kwa Wakti

3

Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma. Serikali itahakikisha kuwa mbolea inawafikia wakulima kwa wakati katika msimu ujao ili kuchochea ukuaji wa sekta ya kilimo hapa nchini hali itakayoongeza ari ya utekelezaji wa dhana ya ujenzi wa uchumi wa viwanda. Akizungumza Bungeni mjini Dodoma Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba amesema kuwa …

Read More »

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

Pix 4 Mwenyekiti Zungu

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa akijibu hoja mbalimbali za Wabunge wakati wa kikao cha ishirini na mbili  cha Mkutano wa …

Read More »

Marekani Yaahidi Tena Kupambana Na VVU/Ukimwi Nchini Tanzania

Photo 1

Kaimu Balozi wa Marekani, Dk. Inmi Patterson akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile wakati alipotembelea hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana ambapo Serikali ya Marekani, kupitia Mpango wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na Ukimwi (PEPFAR), umetangaza fedha zaidi Dola Milioni 512 (takribani Shilingi …

Read More »

NAIBU WAZIRI MGALU AWASHA UMEME KATA ZA LUGOBA,MANDELA- PWANI

Pic 2

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (katikati mstari wa kwanza) akiwasha rasmi umeme katika kijiji cha Hondogo Kata ya Mandela mkoani Pwani. Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete na wengine wanaoshuhudia ni Wataalam Waandamizi kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Naibu Waziri wa Nishati, Subira …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA ILULA, RUAHA MBUYUNI NA RUAHA DARAJANI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI MOROGORO

6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilula mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Morogoro. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruaha mbuyuni mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani …

Read More »