Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 07

Daily Archives: May 7, 2018

YANGA YAOMBA RADHI KWA SPORTPESA

20180507_023312-660x400

Wakicheza Mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika wa Yanga Kundi D uliochezwa jana mjini Algers nchini Algeria na kupoteza kwa jumla ya magoli 4-0 kuna kitu kilitokea Yanga hawakuvaa jezi za Mdhamini wao Mkuu SportPesa. Yanga  kuhusiana na shirikisho la soka Afrika  CAF  kutowaruhusu kutumia jezi za …

Read More »

JAFO AITAKA MANISPAA YA UBUNGO IJITATHMINI

IMG-20180507-WA0070

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akizungumza na wafanyabiashara alipotembelea Soko la Shekilango kuangalia ujenzi uliofanyika.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akikagua utoaji huduma katika kituo cha Afya cha Palestina Manispaa …

Read More »

UGAWAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA WAANZA MKOANI DODOMA

20180502_124545

Meneja usajili (TRA – HQ) Bi. Rehema Shao, akizungumza jambo wakati wa kikao cha awali cha maandalizi ya zoezi la usajili la Wamachinga maarufu Watarazaki kilichofanyika ofisi za NIDA Dodoma. Kushoto ni Bw. Thomas Masese; Meneja usajili TRA, akifuatiwa na Bw. George Haule, Afisa Elimu (TRA-HQ) pamoja na Bw. Ombeni …

Read More »

KOCHA WA ZAMANI YANGA, JACK CHAMANGWANA AFARIKI DUNIA

31530966_594231130956669_7247405927840612352_n

Aliyewahi kuwa Kocha wa klabu ya Yanga, Jack Chamangwana, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31. Taarifa zinaeleza kuwa Chamangwana amefariki jana jioni katika hospitali ya Malikia Elizabeth iliyopo nchini Malawi baada ya kuumwa kwa muda mrefu. Taarifa kutoka katika vyombo vya habari vya Malawi, vinaeleza Chamangwana alikuwa katika …

Read More »

KIGOGO MUHIMU WA CUF AJIUNGA CCM VISIWANI UGUNJA

DSC_3461

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd,  Salim Mussa Omar  kutoka Chama cha CUF  wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM …

Read More »

Leseni Za Madini kuanza kutolewa Muda Wowote

PICHA NA 1

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila akisoma hotuba ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko kwenye mkutano wa baraza la kwanza la  wafanyakazi wa Wizara ya Madini mjini Morogoro wenye lengo la kujadili utendaji kazi na namna ya kukabiliana na changamoto katika sekta …

Read More »

WANAUSHIRIKA WA WETCU WATAKIWA KUJIUNGA NA USHIRIKA AFYA

1

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA MFUKO wa Taifa Bima ya Afya  (NHIF) umewataka wanachama wa Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) kujinga Bima ya  Ushirika Afya kwa ajili ya kuwawekea mazingira ya mazuri ya kuwapatia matibabu mwaka mzima. Kauli hiyo imetolewa jana(leo) mjini Tabora na Afisa Matekelezo Mwandamizi wa NIHF …

Read More »

WADAU WA HABARI DODOMA WAPEWA SOMO

E79A7189

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Dodoma Habel Chidawali akifungua Mkutano wa wadau wa habari mkoani Dodoma.   Wajumbe wa mkutano    Mwanahabari Mkongwe Edna Ndejembi akizungumza katika mkutano wa wadau mkoani Dodoma.  Mlezi wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Dodoma(CPC) Daniel Msangya akichangia katika …

Read More »

Mbunge wa CCM Amwaga Mamilioni Ya Fedha kwa Kina Mama

DSC_0422

Mbunge wa Singida Magharibi Mh: Elibariki Kingu Ametoa zaidi yaSh.{ 7 } milioni kwa ajili ya kuviimarisha kiuchumi Vikundi  7  vya kina mama jimboni humo kama mitaji isiyo na marejesho.  Pia, Mbunge huyo ameahidi kutoa msaada wa baiskeli 1530 kwa Mabalozi wote wa nyumba kumi katika Jimbo la Singida Mashariki  …

Read More »

NAIBU WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WACHIMBAJI MADINI LUGOBA

PICHA NA 5

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (CCM) akielezea shughuli za uchimbaji wa madini ya kokoto kwa Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko na wananchi wa wilaya ya Bagamoyo (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika katika eneo la Lugoba wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Sehemu ya wakazi wa eneo la Lugoba lililopo wilayani Bagamoyo …

Read More »