Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 08

Daily Archives: May 8, 2018

JAFO AAGIZA KUREKEBISHWA MAZINGIRA YA SOKO LA FERI

IMG-20180508-WA0073

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo  akikagua soko la samaki Feri. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo  akiagana na viongozi mara baada ya kukagua soko la samaki Feri. …………………………………………………….. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za …

Read More »

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA WANAKWAYA KUTOKA KONGWA

PIC e

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na wanakwaya kutoka Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kongwa walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wanakwaya wa Kigango cha Iduo Adriano Joseph (kushoto) na Nicholus Richard (kulia) wakimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) kiroba chenye Karanga kwa niaba …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO

1

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo leo Bungeni Jijini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu . Naibu Waziri wa Mali Asili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga  Akitoa maelezo kuhusu mikakati ya Serikali kuhakikisha kuwa migogogoro ya mipaka kati ya …

Read More »

KONYAGI ILIVYONG’ARA MAONESHO YA WIKI YA TANZANIA NCHINI KENYA

KONYAGI 4

Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwangi Kiunjuri ,akimkabidhi cheti cha ushiriki mwakilisha wa TDL Mkurugenzi wa TPSF,Godfrey Sembeye,akiwa na maofisa wa Konyagi wakati wa maonyesho hayo     Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwangi Kiunjuri akiangalia chupa ya Konyagi alipotembelea …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018

2

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimkabidhi mpira mmoja wa Viongozi wa timu zinazoshiriki mashindano ya Sirro Kibiti mwaka 2018 katika uwanja wa Samora Kibiti wakati wa uzinduzi wa michezo hiyo uliofanyika jana. Mashindano hayo yanashirikisha timu 16 kutoka Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji (Picha na …

Read More »