Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 09

Daily Archives: May 9, 2018

CHOO CHA STENDI YA BAGAMOYO CHAFUNGWA TAKRIBAN WIKI TATU SASA

IMG-20180509-WA0064

Nje ya choo cha stendi ya Bagamoyo yalizozagaa maji machafu . Choo cha stendi ya Bagamoyo ambacho kimefungwa kwa kufuli ambapo watumiaji wanatakiwa kutokitumia hadi hapo kitakapofanyiwa ukarabati . Picha zote na Mwamvua Mwinyi ……………..   Na Mwamvua Mwinyi,Bagamoyo Baadhi ya watumiaji wa choo cha stendi ya Bagamoyo ,mkoani Pwani …

Read More »

SERIKALI YATOA SIKU TATU KWA WALIOFICHA MAFUTA NA SUKARI

majaliwaaa

  *Yasisitiza kamwe haitokubali kuchezewa na wafanyabiashara wasiowaaminifu   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa wafanyabiashara na wenye viwanda vya mafuta ya kupikia na sukari nchini kuhakikisha bidhaa hizo zinaendelea kupatikana katika maeneo yote na katika bei ya kawaida.   “Natoa siku tatu kuanzia kesho Alhamisi, Ijumaa na Jumamosi …

Read More »

MASHINDANO YA HISANI YA MBIO ZA MBUZI KUENDELEA MWAKA HUU

1

Rais wa Klabu ya Rotary Dar es Salaam, Oysterbay, Anne Saels (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kutangaza nia ya klabu hiyo kuendeleza mashindano hayo kwa mwaka 2018. Chini ya chapa mpya ya ‘The Rotary Goat Races’, mashindano hayo …

Read More »

Mfumo Wa Kielektroniki Kuchochea Ukuaji wa Biashara

????????????????????????????????????

  Katibu Tawala Msaidizi Sekta za Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Dodoma  Bibi  Aziza Mumbi akizungumza na waandishi  wa Habari (hawapo pichani) kuhusu faida za  mfumo wa Kusajili Kampuni kwa njia ya mtandao leo Jijini Dodoma. Meneja Uboreshaji Mazingira ya Biashara na Uwekezaji kutoka Baraza la Taifa la Biashara Bw.  …

Read More »

ABDI BANDA ACHAGULIWA KUWA MCHEZAJI BORA APRILI AFRIKA KUSINI

Banda 1

Beki Mtanzania anayeichezea klabu ya Baroka inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili na Mei 2018 kwa upande wa klabu hiyo. Mchezaji huyo ameisaidia timu yake kufunga mabao mawili na kuiwezesha kwenda sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa ligi uliopigwa Aprili 28 dhidi ya …

Read More »

OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR YAPANGA KUTUMIA SH.87,800,00 KWA AJILI YA KUWAJENGEA UWEZO KATIKA KUKABILIANA NA MAFAA YANAPOTOKEA

????????????????????????????????????

Makamu wa Pili wa Rais Balozi seif Ali Idd akiwasilisha Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Ofisi hiyo ya mwaka wa fedha 2018/2019 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kikao hicho kimeanza leo. Picha na Miza Othman Habari …………… Na Miza Kona Maelezo Zanzibar                                         OFISI ya Makamo wa …

Read More »

UZINDUZI WA COPA UMISSETA SINGIDA WAFANA

SINGIDA+PHOTO+3

Wawakilishi wa shule za sekondari wakipokea vifaa vya michezo vilivyotolewa na kampuni ya Coca-Cola kutoka kwa Mkuu wa Mkoa, Dkt. Rehema Nchimbi Mkuu wa mkoa wa singida, Dkt. Rehema Nchimbi, akifurahia zawadi ya mpira wa kufanyia mazoezi wakati wa hafla hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi, akijiandaa …

Read More »

Msajili Baraza la Uuguzi Tanzania Aanza Kazi Rasmi

001

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agnes Mtawa akikaribishwa leo ofisini na watumishi wa baraza hilo. Kushoto ni Bi. Jane Mazigo aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo akimpatia maua Bi. Agnes Mtawa na kulia ni Happy Masenga anayeshughulika na mafunzo katika baraza hilo. Bi. Mtawa akitazama zawadi ya maua …

Read More »

Mfumuko wa Bei Washuka na Kufikia Asilimia 3.8

N1

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari(hawapo pichani) alipokuwa akiongelea mfumuko wa bei leo Jijini Dar es Salaam. Mfumko wa bei  wa Taifa umeshuka toka asilimia 3.9 mwezi Machi hadi kufikia 3.8 …

Read More »

DK. AKUTANA NA MABALOZI WILAYA YA DIMANI CCM

????????????????????????????????????

Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe.Thuwaiba Edington Kisasi alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa mikutano wa CCM Amani-Mkoa katika mkutano wa  Mabaalozi Wilaya ya Mfenesini jana,[Picha na Ikulu], 09/05/2018. …

Read More »

CHUO KIKUU MZUMBE CHAJADILI SEKTA ISIYO RASMI

_MG_4335

 Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe (Utawala na Fedha), Prof. Ernest Kihanga, akisoma hotuba yake kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Miaka Minne utakaotafiti na kuonyesha njia sahihi ya sekta isiyo rasmi kupata …

Read More »