Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / May / 10

Daily Archives: May 10, 2018

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU

1

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (katikati) akieleza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya kujadiliana Taarifa ya Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 iliyotolewa na jumuiya hiyo.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa NEC Jaji Mkuu Mst. (Znz) Hamid Mahmoud Hamid …

Read More »

Tatu Mzuka Yatangaza Ushirikiano Wa kibiashara Na Wema Sepetu

GY3A6763

Kampuni ya ‘The Network’ ambayo ni kampuni mama inayoendesha mchezo wa namba wa Tatu Mzuka nchini Tanzania, leo imetangaza kuanza ushirikiano wa kibiashara na mrembo maarufu nchini Bi. Wema Sepetu.Ushirikiano huu ni mwendelezo wa mpango mkakakati wa Tatu Mzuka wa kufanya kazi bega kwa bega na Watanzania katika kuboresha maisha …

Read More »

BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU

1

Mkurugenzi halmashauri ya Bagamoyo,Mkoani Pwani Fatuma Latu akizungumza katika baraza la madiwani. Baadhi ya madiwani wa wilaya ya Bagamoyo, wakifuatilia kwa makini yaliyojiri katika baraza la madiwani wilayani hapo Diwani wa viti maalum ,Shumina Abdala (mwenye aliyeaimama mwenye blauzi nyekundu)akizungumza jambo wakati wa baraza la madiwani wilayani Bagamoyo. Picha na …

Read More »

DAR ES SALAAM KUMEKUCHA, RAIS MAGUFULI ASHUSHA NEEMA.

index2

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akizungumza na waandishiwa habari leo kuhusu miradi mipya ya kimkakati inayojengwa jijini Dar es salaam. Moja ya soko la Kisasa litakalojengwa Kisutu jijini Dar es salaam. ……………………………………………………………………………………………………. Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam wameendelea kula Matunda ya serikali ya …

Read More »

MAJALIWA:TUPO TAYARI KWA FAINALI ZA AFCON 2019

400x200xwebsite_content_image_afcon.jpg.pagespeed.ic.-NjvJ6a6cZ

 WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo tayari kwa maandaalizi  ya fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019. Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya  miaka 17 AFCON yanayotarajiwa kufanyika mwakani nchini Tanzania. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Mei  10, 2018) …

Read More »

Tanzania Establishes 3,306 Industries by March 2018

viwanda

By: Fatma Salum- MAELEZO A total of 3,306 industries have been constructed by March 2018 following President Dr. John Pombe Magufuli’s vision of realizing middle income by 2025 basing on industrial economy. This has been revealed by the Minister of Industries, Trade and Investment, Mr. Charles Mwijage while tabling his …

Read More »

Serikali Yahamasisha Matumizi ya Gesi Majumbani

Pix 4 Mhe Mgalu

Na Frank Mvungi-Maelezo Serikali Kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imeanza matarayarisho ya kutekeleza mradi wa kuunganisha gesi majumbani ambapo awamu ya kwanza ya mradi huo umepita  katika eneo la Mikocheni  Jijini  Dar es Salaam. Akijibu swali la mheshimiwa Zainab Mndolwa Amiri aliyetaka kujua  ni lini Serikali itapunguza …

Read More »

Serikali Ya Awamu ya Tano Yaendelea Kufanikisha Ujenzi wa Viwanda

1-10

Frank Mvungi- MAELEZO Serikali ya Awamu yaTano tangu iingie madarakani imefanikisha Ujenzi wa Viwanda zaidi ya 3306 vikubwa  na Vidogo hadi kufikia machi 2018. Akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi,  Waziri wa Viwanda  Biashara na uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage amesema kuwa  ujenzi wa viwanda hivyo unatokana na dhamira …

Read More »

SERIKALI YAKUSUDIA KUTAFUTA MBIA MWINGINE MRADI WA UDART

IMG_9325

*Yasema maitosita kumuondoa mwendeshaji wa sasa SERIKALI imesema inakusudia kuongeza mtoa huduma mwingine katika uendeshaji wa  Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) ambayeataingiza mabasi yake na kutathmini ufanisi wa mbia wa sasa ili kuimarisha huduma ya usafiri Jijini Dar es salaam . Amesema iwapo itabainika kwamba mwendeshaji wa sasa  ana matatizo yaliyokithiri, …

Read More »

Wapinzani Sasa Wameanza Kumwelewa Rais Magufuli

images

Na Mwandishi Wetu-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipoingia madarakani,baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ni dhahiri kuwa walio wengi hawakumwelewa hasa anataka nini na pia ana dhamira gani katika kuwaletea wananchi maendeleo, pia falsafa yake ya kuwajali wanyonge na kuhakikisha angalau wanaonja …

Read More »

Rais Magufuli ni Kiongozi wa Mfano

sua7

Na Fatma Salum Usimamizi mzuri wa fedha katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo nchini chini ya uongozi imara wa Rais John Pombe Magufuli, umeiwezesha Tanzania kuendelea kupata wafadhili wengi kutoka nchi za nje na mashirika ya kimataifa.  Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni miongoni mwa taasisi inayosaidia Tanzania katika …

Read More »

Serikali Kuanzisha Vituo Maalum vya Kuuzia Mazao

Pix 6 Mhe.Mwijage

Na Georgina Misama Serikali imepanga kuanza matumizi ya vituo maalum vya kuuzia mazao ili kuwasaidia wakulima kudhibiti ubora wa mazao yao, kupata taarifa za masoko na kuimarisha ushindani wa bei. Makubaliano ya matumizi ya vituo hivyo yamefikiwa na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kupitia Bodi ya Usimamizi Stakabadhi za …

Read More »

WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI

PICHA NA 1

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kushoto) akibadilishana mawazo na Balozi wa Japan Nchini Masaharu Yoshida (kulia) ofisini kwake mjini Dodoma mapema leo tarehe 09 Mei, 2018. Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kushoto) akiagana na Balozi wa Japan Nchini Masaharu Yoshida (kulia) mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho. Waziri wa …

Read More »

MKUU WA WILAYA YA KIBAHA ASSUMPTER MSHAMA AANDAA KONGAMANO LA KUWAWEZESHA VIJANA KIUCHUMI KUPITIA FEDHA ZA MFUKO WA RAIS

3-7

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji Kibaha Jenipher Omola akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusina na mikakati waliyojiwekea katika kuwasaidia vijana katika suala zima la kuwapatia mikopo ili waweze kujikwamua kimaisha.(PICHA NA VICTOR MASANGU) ………………………………………………………………… NA VICTOR  MASANGU,  KIBAHA      BAADHI ya  watendaji katika Wilaya ya Kibaha Mkoani …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO 10.5.2018

Pix 2 Spika

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri mkuu Bungeni leo Jijini Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha ishirini na sita cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma. …

Read More »

MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI

????????????????????????????????????

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwa katika picha ya pamoja na wakazi wa eneo la Pugu Nyamwezi lenye ukubwa wa hekari 40 ambalo mmiliki wake ni Bibi Jeshri Rawel (kulia kwa waziri) ambaye anadai kuvamiwa na wakazi hao. ………………………………………………….. Waziri wa Ardhi, Nyumba na …

Read More »

RC Makalla Awataka Wananchi kufanya Mazoezi

DSC_0400

      Taasisi ya Mo Dewji imekuwa miongoni mwa wadhamini ambao kwa kushirikiana na Taasisi ya Tulia Trust wamewezesha kufanyika Tulia Marathon 2018, ikiwa ni mara ya pili kufanya hivyo baada ya mbio za mwaka jana ambazo zilikuwa na mafanikio makubwa.   Akizungumza katika mbio hizo, Mkuu wa Mkoa …

Read More »

MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEP MBILINYI “SUGU” AACHIWA HURU LEO

index

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wakilakiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mh. Freeman Mbowe mara baada ya kuachiwa huru leo Alhamis Mei 10,2018 jijini Mbeya. ……………………………………………………………………………………….. Awali Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda na …

Read More »