Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 11

Daily Archives: May 11, 2018

AMREF WATOA GARI YA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOA SIMIYU

PICHA 1

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Mhe.Anthony Mtaka akionesha ufunguo wa gari la wagonjwa lililotolewa kama msaada na Shirika lisilo la Kiserikali  la AMREF kwa Hospitali Teule ya Mkoa wa Simiyu.   Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akijiandaa kuingia katika gari la wagonjwa “Ambulance”  lililotolewa kama msaada na Shirika lisilo la Kiserikali …

Read More »

Watanzania Jiungeni Na NHIF Kabla Ya kuugua- Makinda

2

Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Anne Makinda akisalimiana na mmoja wa wananchi waliokuwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa. Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF Anne Makinda akizungumza na Wadau wa Mfuko kutoka Wizara mbalimbali jijini Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Bernard Konga akieleza mikakati ya Mfuko katika kufikia malengo ya kuwahudumia …

Read More »

KAMATI YA NIDHAMU YATOA ADHABU MASHAURI MANNE,WENGINE KUPEWA WITO MPYA

Nembo-ya-TFF

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) iliyokutana Mei 9,2018 Kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Shirikisho Karume,Ilala pamoja na mambo mengine ilipitia mashauri manne yaliyofikishwa kwenye kamati. Shauri la kwanza lilihusu wachezaji wa Villa Squad Nassoro Makoba,Hamza Habibu na Severine Charles ambao katika mchezo …

Read More »

DK. KIGWANGALLA AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA MAPITIO YA RASIMU YA SERA YA TAIFA YA UTALII YA MWAKA 2018

2

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akifungua Warsha ya Kitaifa ya Mapitio ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Utalii ya mwaka 2018 Jijini Dodoma leo. ……………………………………..   WAZIRI wa Maliasili na Utalii,Dk.Hamisi Kigwangalla amesema  Serikali itaendelea kutekeleza sera ya Taifa ya Utalii  kwa ushirikiano na wadau katika usimamizi, …

Read More »

WANANCHI WA IHEMBE WAISHUKURU SERIKALI YA MAGUFULI

IMG-20180511-WA0065

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo  akizungumza na viongozi mbalimbali wa serikali.  Majengo mapya yaliyokarabatiwa katika shule ya msingi Ihembe. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akiwa na viongozi wa Kagera. Baadhi …

Read More »

BAADHI YA WABUNGE WAWAKILISHI JUKWAA LA KIBUNGE NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUTOKA TANZANIA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIKU MKUU WA NCHI ZA UKANDA HUO

V25A6258

Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Najma Giga (kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Mkuu Mhe. Onyango kakoba (kulia) alipomtembelea leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Najma Giga (kulia) akisalimiana na mgeni wake Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya …

Read More »

MAPATO YA UTALII YAONGEZEKA HAPA NCHINI

_DSC1348

Na Mahmoud Ahmad Dodoma Imeelezwa kuwa Ukuaji wa sekta ya utalii hapa nchini, umedhihirika mapato yatokanayo na utalii kuongezaka kutoka Dola bilioni 1.7 mwaka 2012 hadi kufikia Dola bilioni 2.2 mwaka 2017. Ongezeko la mapato hayo ni kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watalii kutoka 1,077,058 mwaka 2012 hadi kufikia …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO 11.5.2018

Pix 1 Mhe.Chenge

Mwenyekiti wa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge  akiongoza kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma. Mbunge wa Mtera Mhe.Livingstone  Lusinde akiuliza swali wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma. …

Read More »

Watumishi MAELEZO Wakunwa na Huduma TTCL

T1a (2)

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Rodney Thadeus akifafanua jambo mbele ya watumishi wa Idara hiyo walipokutana na ujumbe kutoka Shirika la Simu Tanzania (TTCL) kwa ajili ya kujengewa uelewa kuhusu huduma za Shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Afisa Mauzo wa TTCL, Bi. Rahel …

Read More »

MWALIKO WA KUSHIRIKI MAONESHO YA NISHATI MBADALA WA MKAA KATIKA WIKI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI,31 MEI – 5 JUNI, 2018, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM

NEMBO TAIFA

Ofisi ya Makamu wa Rais inawaalika wadau kutoka taasisi za serikali, zisizo za serikali, sekta binafsi, taasisi za utafiti na vyuo vikuu kuonesha bidhaa, ubunifu na uvumbuzi wao katika teknolojia mbalimbali za nishati za kupikia ambazo ni mbadala wa mkaa. Vile vile katika eneo la maonesho wajasiriamali waliowekeza au wenye …

Read More »