Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 12

Daily Archives: May 12, 2018

‘Wanafunzi wa kike msiwe bidhaa rahisi’

4

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Ndola Masunga akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jingo jipya la maabara katika Shule ya Sekondari Bulekela Kata ya Masanga ambalo alililakabidhi tayari kwa matumizi ya kujifunzia masomo ya sayansi. Muonekano wa maabara mara baada ya kukamilika tayari kwa matumizi ambapo …

Read More »

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA SINGIDA UNITED LEO

simba_1wg9iatlvvie114248gh77zh68

Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Singida United, mchezo wa Ligi Kuu Bara 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Paul Bukaba 5. Yusuph Mlipili 6. Erasto Nyoni 7. James Kotei 8. Jonas Mkude 9. John Bocco 10. Laudit Mavugo 11. Emmanuel Okwi   Kikosi cha akiba …

Read More »

JUMIA YATOA SAMSUNG S9 NA S9+ KWA WATEJA WAKE

IMG_5653

 Mkurugenzi Mkuu wa Jumia Tanzania, Bw. Zadok Prescott , akimkabidhi simu ya Samsung Galaxy S9, mteja Happiness Keto aliyoinunua simu hiyo kwa shilingi 59,000 tu katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana.  Mteja Happiness Keto akionesha simu hiyo kwa waandishi wa habari.  Mkurugenzi Mkuu wa Jumia Tanzania, Bw. Zadok Prescott , akimkabidhi simu ya …

Read More »

IGP SIRRO AWAPA SOMO WASTAAFU POLISI

8

Na. Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaasa Makamishna wastaafu wa Polisi kuendelea kukabiliana na uhalifu wawapo uraiani baada ya kustaafu utumishi wa Polisi kwa kuwa mapambano ya uhalifu hayana mipaka. IGP Sirro aliyasema hayo jana wakati wa hafla maalum ya kuwaaga waliokuwa Makamishna …

Read More »