Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 14

Daily Archives: May 14, 2018

Kamati ya Bunge ya Uganda Yamwagia Sifa Mradi wa DMDP

1

Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege (kushoto) akiwapokea wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa toka Nchini Uganda waliotembela Wizara kuona ubora wa miradi ya Benki ya Dunia inavyotekelezwa. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa toka Uganda (PAC-LG) Mhe. Ronald Reagan Okumu (kulia) …

Read More »

RC Wangabo Aagiza DED kuchunguzwa

RC Wangabo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa kuanzisha mchakato wa kinidhamu na uchunguzi mara moja dhidi ya Mkurugenzi wa Halamashauri ya Wialaya ya Kalambo kutokana na utendaji kazi wake usioriddhisha.. Amesema kuwa mkurugenzi huyo amekuwa akichelewesha juhudi za serikali baada ya kushindwa kumaliza ujenzi …

Read More »

Mradi wa Maji Kimbiji na Mpera Kuwanufaisha Wananchi

aweso

Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma Mradi wa maji wa Kimbiji na Mpera kuanza kuwanufaisha Wananchi baada ya kukamilika kwa awamu ya pili ambayo itahusu ujenzi wa miundombinu ya kusambaza maji ambapo utaanza kutekelezwa katika  bajeti ya mwaka 2018/2019. Akijibu swali la Mbunge wa viti maalum Mhe. Lucy Simon Magereli aliyeta kujua …

Read More »

HOTUBA YA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MHE. DKT. MWINYI, AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2018/2019

Pix 7 Waziri Mwinyi

  UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara …

Read More »

JAFO AKEMEA WIZI WA VYUMA VYA MADARAJA

IMG-20180514-WA0071

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akiwa na viongozi wa mkoa wa Tabora na wilaya ya Nzega wakikagua eneo ambalo miundombinu ya barabara itapitishwa.  Viongozi wakikagua eneo litakapojengwa daraja la Nhombola  Wananchi wakiwa upande wa pili wa mto katika eneo ambalo …

Read More »

KATIBU MKUU WA WIZRA YA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWATAKA WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA NYUMBA KUONGEZA TIJA NA KUKIDHI MAHITAJI KWA UMMA

32562030_429091750870046_50126584786452480_n

Katibu Mkuu Wa Wizara ya Ardhi Ya ,Nyumba na Maendeleo Ya Makazi.Dorothy Mwanyika Akifungua mkutano wa  Baraza la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba NHC uliofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam wa puli kutoka Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Felx Maagi. Wajumbe …

Read More »

MTENDAJI MKUU TEMESA AFUNGA MAFUNZO IPSAS

PIC 1

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu katikati akizungumza na wahasibu wa wakala huo baada ya kuwatunuku vyeti vya kuhitimu mafunzo ya Kutunza, Kuandaa na kufunga hesabu za serikali kwa kutumia viwango vya kimataifa vya Uhasibu katika sekta ya Umma yaani mfumo wa IPSAS yaliyofanyika …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO

Pix 1 Mhe Giga Najma

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga akiongoza kikao cha ishirini na nane cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma. Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  Dkt.Florens Turuka na Naibu Katibu Mkuu Bi.Immaculate Ngwale pamoja …

Read More »

ACHENI UJANJA UJANJA FANYENI KAZI-WAZIRI JAFO

IMG-20180514-WA0051

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akiwa na Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zaibu Talaki akimsikiliza mkandarasi anayejenga  barabara za Manispaa ya Shinyanga.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akiwa katika ukaguzi …

Read More »

BALOZI WA IRELAND ASIFU MUHIMBILI KWA KUBORESHA HUDUMA

002 A

Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Paul Sherlock akitambulisha ujumbe wa watu saba wakiwamo wabunge watatu wa Kamati ya Hesabu za Serikali ya Ireland kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru alipotembelea hospitali hiyo leo. Balozi huyo ameitembelea MNH leo ili kuona na kupatiwa maelezo ya …

Read More »

MAMBO MUHIMU YALIYOTOKEA SIKU YA MWISHO LIGI KUU ENGLAND

4C2E36B900000578-5723881-image-a-2_1526229404280

Mohamed Salah alivunja rekodi ya ufungaji mabao katika Ligi Kuu ya England baada ya kuwafungia Liverpool mabao 38 michuano yote msimu huu. Hilo ni moja tu kati ya matukio muhimu yaliyotendeka siku ya mwisho msimu huu wa 2017/18 Ligi ya Premia Jumapili. Mabao ya Salah yaliwasaidia Liverpool kufuzu kwa michuano …

Read More »