Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 15

Daily Archives: May 15, 2018

Elimu ya Mlipa Kodi Kutolewa Mashuleni

9080-Mhe.Ole-nasha-768x549

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Serikali imeona umuhimu wa kuingiza elimu ya mlipa kodi  kwenye mitaala ya elimu nchini ili kwajengea Watanzania  tabia, mwenendo na mazoea ya  kulipa kodi kwa maendeleo ya Taifa. Kauli hiyo imetolewa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. …

Read More »

MASHINDANO YA CDF CUP YAENDELEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????

Mchezaji wa timu ya kamandi ya wanamaji akijaribu kupachika bao dhidi ya timu ya kamandi ya wanaanga wakati wa mashindano ya mkuu wa majeshi CDF Cup iliyofanyika katika viwanja vya Indoor4 jijini Dar es Salaam, wanamaji walishinda seti 3: 0 Mchezaji wa timu ya kamandi ya wanamaji akijaribu kuuzuia mpira …

Read More »

SADC WATOA MAFUNZO KWA MAAFISA WA SERIKALI

3

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Balozi Innocent E. Shiyo akifungua  Warsha ya Mafunzo ya Mfumo wa Ufuatialiaji na Tathmini wa SADC (SADC Results Based Online Monitoring and Evaluation System) kwa niaba ya Katibu Mkuu Prof. Aldof Mkenda, kulia kwake ni Meneja Mradi kutoka GIZ Bw. Robson Chakwama na wa mwisho …

Read More »

UFUNGUZI WARSHA YA MAAFISA HABARI ATAWAS

PIC 01

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya Jiji la Dododma (DUWASA) Mhandisi David Palangyo akifungua warsha ya siku mbili ya kuwajengea uwezo maafisa habari wa Mamlaka za Maji Tanzania (ATAWAS) iliyofanyika leo Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassan Abbasi na …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA MHE.WAZIRI MKUUBUNGENI LEO 15.5.2018

PMO_0025

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro mjini, Aziz Abood, Bungeni jijini Dodoma, Mei 15, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 15, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia, Bungeni jijini Dodoma, Mei …

Read More »

GCLA Watoa Mafunzo kwa Wasimamizi 60 wa Kemikali

????????????????????????????????????

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi Jinai na Huduma za Vinasaba,  Bw. David Elias (kushoto) akizungumza na washiriki wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wasimamizi wa shughuli za kemikali viwandani na kwenye makampuni yanayojihusisha na shughuli za kemikali katika Ukumbi wa CEEMI, Dar es Salaam.  Mafunzo hayo yameandaliwa na Mamlaka …

Read More »

MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE YA KUDHIBITI TAKA HATARISHI

TAKA 02

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Lawrence Museru akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia  Maendeleo (UNDP) ambao umekuja kuangalia utekelezwaji wa mradi wa mazingira . UNDP wametoa msaada wa mashine ya kisasa ya utasishaji ambayo itasaidia kupunguza uchomaji wa taka za plastiki. Mkuu …

Read More »

KURUGENZI CUP ’18 YATIMUA VUMBI MBULU KWA KAMOGA

IMG-20180514-WA0031

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga (kulia) akikagua timu ya Dongobesh FC kwenye ufunguzi wa michuano ya Kurugenzi CUP ’18 inayoshirikisha timu 10 na kufanyika kwenye viwanja vya Haydom ambapo pia kutakuwa na matamasha mbalimbali ikiwemo semina ya ujasiriamali. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya …

Read More »

JAFO AKERWA NA GHARAMA KUBWA ZA UJENZI WA BWENI ENDASAK

IMG-20180515-WA0045

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) akizungumza katika ukaguzi wa bweni la shule ya Sekondari ya  Endasak  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) akikagua bweni la shule ya Sekondari ya  Endasak  Bweni la shule ya sekondari …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO

Pix 1 Mwenyekiti

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akijibu miongozo  mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Mhandisi Isaac Kamwelwe wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano …

Read More »

MILIONI 235 YAPATIKANA KWA WAKWEPA KODI TOKA JULAI MWAKA JANA

index

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tabora imekusanya shilingi milioni 235.2 kutokana na adhabu zilizotozwa kwa wafanyabiashara waliofanya udandanyifu wakati wa utoaji risti na wale ambao walikuwa hatoa baada ya mauzo ya bidhaa kwa wateja wao. Fedha hizo zilikusanywa katika kipindi cha kuanzia Julai …

Read More »