Wednesday , January 16 2019

Home / MCHANGANYIKO / MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO

PMO_0674

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Madaba, Mheshimiwa Joseph Mhagama kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 16, 2018.

PMO_0668

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Madaba, Mheshimiwa Joseph Mhagama kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 16, 2018.

PMO_0524

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi ,Vijana Ajira,  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2018.

PMO_0596

Waziri wa Kilimo na Mifugo, Luhaga Mpinda  akitoa maelezo kuhusu uhakika wa usalama wa nyama wanayokula watanzania, Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2018.

PMO_0631

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akizungumza na wanawake kutoka Mbeya  waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Naibu Waziri wa Kilimo Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 16, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Dkt. Harrison Mwakyembe. Kulia ni Mbunge wa Lupa,  Bvictor Mwambalaswa na watano kulia ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinda.

PMO_0544

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma, Mei 16, 2018.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About Alex

Check Also

5a-min

RC TABORA AIAGIZA KAMPUNI YA L AND T KUREKEBISHA KASORO UJENZI WA TANKI LA MAJI LA KIJIJI CHA IBELAMILUNDI

Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya kuchunguza ubora wa tenki katika Kijiji cha Ibelamilundi Injinia Damiani …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 × 3 =