Thursday , May 24 2018

Home / MICHEZO / MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KATIKA MICHUANO YA KURUGENZI CUP 2018 MJINI HAYDOM MKOA WA MANYARA LEO

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KATIKA MICHUANO YA KURUGENZI CUP 2018 MJINI HAYDOM MKOA WA MANYARA LEO

x

Kipa wa timu ya Young Boys Israel Petro akidaka mpira uliopigwa na
wachezaji wa timu ya Qandach FC kwenye mashindano ya Kurugenzi CUP 18
yaliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya
Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga yanayofanyika mji mdogo wa Haydom,
Young Boys ilishinda mabao 6-0.

x1

Mchezaji wa timu ya Young Boys mwenye jezi nyeupe Dude Bajuta
akipamba vikali na mchezaji wa timu ya Qandach FC Hakimu Gichiro
ambapo Young Boys ilishinda mabao 6-0.

x2 x3

Mashabiki waliojitokeza kushuhudia mpambano mkali ambapo timu ya
Young Boys iliifunga timu ya Qandach FC mabao 6-0.Mchezo huo ulipigwa
wakati mvua ikiendela kumwagika katika viwanja vya shule ya msingi
haydom lakini mashabiki hawa hawakujali hilo na waliendelea kupata
burudani.

 

x4

About bukuku

Check Also

RAIS-3

SHUKRANI ZA RAIS WA TFF WALLACE KARIA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH.JOHN POMBE MAGUFULI

Jumamosi Mei 19,2018 tulikuwa na tukio kubwa la sherehe za kukabidhi Kombe la Mshindi wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eighteen + eleven =