Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 18

Daily Archives: May 18, 2018

NIC YATOA MSAADA WA MIFUKO YA SARUJI KISARAWE

IMG-20180518-WA0079

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Bima la Taifa la Tanzania,(NIC) Sam Kamanga ,akizungumza jambo wilayani Kisarawe Mkoani Pwani . Mbunge wa viti maalum Mkoani Pwani ,Zainab Vullu akiongea na baadhi ya madiwani na watendaji halmashauri ya Kisarawe (hawapo pichani) Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Bima la Taifa la Tanzania(NIC) Sam …

Read More »

RASMI YANGA YAPATA KOCHA MPYA,ASAINI MIAKA MIWILI

32845643_599206687125780_7765963863794647040_n

Kocha Mkongomani wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga. Zahera amechukua rasmi mikoba ya Mzambia aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi cha Yanga baada ya kuondoka kimyakimya kurejea kwao Zambia katika klabu yake ya zamani, Zesco United. Zahera alichelewa kusaini mkataba na Yanga kutokana na …

Read More »

HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA MKOANI MBEYA NI ASILIMIA 91.5

ms

 Ofisa Mauzo wa Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Mbeya, Rhoda Joseph (kushoto) na Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Ilembo, Sk.Bwire Biseko (kulia), wakihesabu dawa wakati wa makabidhiano yaliyofanyika kituo hapa jana wilaya ya Mbeya Vijijini. Katikati ni mwanakamati ya Afya wa Kijiji cha Ilembo.  Ofisa Mauzo wa …

Read More »

AQRB YATAKIWA KUJITANGAZA – MAJALIWA

2

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (wa pili kulia), akikata utepe kuashiria makabidhiano ya mashine 10 za kufyatulia matofali zilizotolewa na Bodi ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kabla ya kufungua semina ya 29 ya wataalam hao, Mkoani Dodoma. Wa tatu kulia ni Waziri …

Read More »

WANAHISA CRDB WATAKIWA KUNUNUA HISA KWA WINGI

IMG_20180518_121812WEB

PICHANI: Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akizungumza kwenye semina ya Wanahisa wa benki hiyo. Semina hiyo imefanyika leo Mei 18, 2018 kwenye Ukumbi wa Simba (AICC) jijini Arusha ikiwa ni utangulizi wa Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB kesho Mei 19, 2018. …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

Msangi3

MTOTO AFARIKI DUNIA BAADA YA KULIPUKIWA NA MOTO MDOMONI MITHILI YA UMEME WAKATI AKIUNGANISHA NYAYA ZA RADIO NA BETRII YA SIMU KWA KUTUMIA MDOMO WILAYANI NYAMAGANA. KWAMBA TAREHE 17.05.2018 MAJIRA YA SAA 16:00HRS JIONI KATIKA MTAA WA IGOMA MASHARIKI JIJI NA MKOA WA MWANZA, MTOTO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA DOTTO …

Read More »

MAMA JANET MAGUFULI AWAKUMBUKA WAFUNGWA GEREZA SEGEREA

PIX 3

Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza afande Gaston Sanga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi ya Mama Janet Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam  leo kwa ajili ya kupokea msaada wa vyakula vya wafungwa. Mama Janet Magufuli mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa …

Read More »

Watumishi Wakumbushwa Umuhimu wa Kuishauri Menejimenti

2

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wamekumbushwa umuhimu wa kuishauri Mamlaka yao ili iweze kufanya vizuri zaidi katika shughuli zake. Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mohammad Kambi ameyasema hayo leo Jijini …

Read More »

LAAC YA UGANDA ZIARANI DODOMA, YAFURAHIA MJI WA SERIAKLI

ENG M

Mwakilishi wa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa Manispaa ya Dodoma Mhandisi Emanuel Manyanga akiwasilisha taarifa ya Miradi iliyotekelezwa na itakayotekelezwa kupitia Mradi wa Uendelezaji Miji ya Kimkakati Tanzanzia (TSCP) mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Serikali za Mitaa ya Nchini Uganda ilipokuwa katika ziara ya kujifunza katika …

Read More »

WAZIRI MPINA AJA NA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

IMG-20180517-WA0086

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina,akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2018/2019 bungeni jijini Dodoma jana. Picha na John Mapepele  *Viwanda vya nyama vilivyokufa kufufuliwa,Narco kusukwa upya *Kuanzisha Mamlaka ya kusimamia uvuvi,Tafico kufufuliwa Na John Mapepele, DODOMA WAZIRI wa Mifugo na …

Read More »