Sunday , October 21 2018

Home / BURUDANI / Maelfu ya Wateja wa Tigo Wajishindia Simu Janja katika Promosheni Iliyomalizika Leo Ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus

Maelfu ya Wateja wa Tigo Wajishindia Simu Janja katika Promosheni Iliyomalizika Leo Ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus

????????????????????????????????????

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni iliyoisha leo ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo ilitoa simu janja 1,080 kwa wateja wake, pamoja na bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wote walionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00# .

IMG_4816

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Sakina Kassanga, askari polisi kutoka Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha leo ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00#  

IMG_4724

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Ramadhan Ali  Ngolozi kutoka Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha leo ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promosheni hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00# .

IMG_4692

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Gladys Mtandila kutoka Makumbusho, Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080 wa simu katika promosheni iliyoisha leo ya Tigo Nyaka Nyaka Bonus. Kupitia promoshen hiyo, Tigo pia ilitoa bonasi nono za hadi GB 1 intaneti kwa wateja wake wlaionunua bando za intaneti kupitia menu *147*00# 

About Alex

Check Also

Rosa

Onesho la Tigo Fiesta Latua Moshi na Ofa kabambe ya Data Kama Lote Inayowapa Wateja Hadi Mara Mbili ya Thamani Ya Intaneti Watakayonunua Kutoka Tigo

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Nancy Bagaka(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo  jinsi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 × 2 =