Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / May / 20

Daily Archives: May 20, 2018

NAIBU WAZIRI MAVUNDE APONGEZA MIPANGO YA MJASARIAMALI KIJANA BI HADIJA JABIR KATIKA KUTENGENEZA NAFASI ZA AJIRA KWA VIJANA

IMG-20180520-WA0135

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi ,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akikagua shamba la mboga mboga. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi ,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akikabidhiwa mboga mboga. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi ,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akiwasikiliza wataalam wa …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA TOZO ZA KAHAWA ZIPITIWE UPYA

pic+majaliwa

  *Akerwa na utitiri wa tozo za zao hilo wilayani Karagwe *Asema zinawekwa na vyama vya msingi kuwaumiza wakulima   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Warajis Wasaidizi wa Mikoa na Maafisa Ushirika wa Halmashauri za Wilaya nchini wakutane na wadau wa vyama vya msingi vya zao la kahawa na wapitie …

Read More »

DC ROSEMARY SENYAMULE AMTAKA MKANDARASI KUKAMILISHA MRADI WA MAJI MEI 30 MWAKA HUU

IMG-20180520-WA0015

Mkuu  wa  wilaya ya  Same  mkoani Kilimanjaro  Rosemary  Senyamule akikagua mradi wa maji katika  wilaya ya Same Mkuu  wa  wilaya ya  Same  Rosemary  Senyamule  akitoa maagizo ya  kutaka mradi wa maji Hedaru kukamilika haraka …………………………………………………………………………………………………………………………………… MKUU  wa  wilaya ya Same  mkoani Kilimanjaro  Rosemary Senyamule amemtaka  mkandarasi  wa mradi  wa maji …

Read More »

SERIKALI YAWAASA VIONGOZI WA DINI WAEPUKE MIGOGORO

PMO_9337

Waziri Mkuu, Kasim Majliwa akisalimiana na Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikan Tanzania, Jaco Chimeldya katika  sherehe ya kumtawaza Askofu Mkuu wa Saba wa kanisa hilo, Maimbo Fabian Mdolwa  jijini Dodoma, Mei 20,2018. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika sherehe hiyo. Spika wa Bunge Job Ndugai akisalimiana na Askofu …

Read More »

SIMBA YAMKABIDHI RAIS MAGUFULI ZAWADI YA JEZI NAMBA 19

Jersey

Na George Mganga Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Kaimu Rais wake, Salim Abdallah ‘Try Again’ umemkabidhi zawadi ya jezi yenye namba 19 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli. Abdallah amesema kuwa zawadi hiyo kwa Rais Magufuli ilipaswa kutolewa jana lakini kutokana na ufinyu wa …

Read More »

MADAKTARI BINGWA WA KUJITOLEA TOKA CHINA WATOA HUDUMA YA UCHUNGUZI WA AFYA KATIKA KITUO CHA KUREKEBISHA TABIA KWA VIJANA TANZANIA YOUTH ICON (TAYI) MADEMA MJINI ZANZIBAR

sdr

Dr Wang Hao katikati akimkabidhi  Mkurugenzi wa Maendeleo kwa Vijana Mwanaidi  Mohammed Ali aliyeko kushoto baadhi ya zawadi walizotoa katika kituo cha Tanzania Youth Icon (TAYI) kwa ajili ya matumizi ya hapo(Picha na Mwashungi Tahir Maelezo Zanzibar. Mkurugenzi wa Maendeleo kwa vijana Mwanaidi Mohammed Ali akiwa na team ya madaktari …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI WAPATIWA SEMINA KUHUSU UANDAAJI NA MAPITIO YA BAJETI YA SERIKALI (TANZANIA)

V25A8358

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia maada kuhusu uandaaji na mapitio ya Bajeti ya serikali (Tanzania) katika semina iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mhe. Hawa Ghasia akisisitiza jambo wakati …

Read More »

QNET TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WENYE THAMANI YA MILIONI 9 KWA MLEZI WA KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM CHA MAUNGA KINONDONI HANANASIF JIJINI DAR ES SALAAM

3

Mwakilishi wa kampuni ya QNET Tanzania  Andrew Gerald akikabidhi msaada wa vyakula wenye thamani ya 9mil/- kwa Mlezi wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Maunga kilichopo Kinondoni Hananasif  Dar Es Salaam,  Bi. Zainab Bakary kwa ajili ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kampuni ya QNET inatoa msaada …

Read More »

KERO YA MAJI S/SEK ZOGOWALE YABAKIA HISTORIA

IMG_20180519_152026

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Zogowale ,mjini Kibaha Mkoani Pwani ,wakishangilia kupata huduma ya maji shuleni hapo ,baada ya kujengewa kisima cha kupampu kilichogharimu zaidi ya sh.mil.11 ,(wa katikati)Mkurugenzi wa Rehema Foundation ,Mohammed Cesur Baadhi ya viongozi wa shule ya sekondari Zogowale ,serikali ya mtaa wa Zogowale na …

Read More »

TAASISI YA ALBINISM AWARENESS FOUNDATION PAMOJA NA WADAU WAMEKABIDHI MSAADA WA KITI CHA MAGURUDUMU,FEDHA,CHAKULA KWA BI.MANGENI AMBAYE NI MLEMAVU WA VIUNGO

IMG-20180520-WA0088

  Tarehe 19/05/2018 taasisi ya Albinism Awareness Foundation(AAF) kwa kushirikiana na wadau na marafiki  tulimtembelea  BI. Mangeni Elia(66) mkazi wa Majengo Dodoma  anaekabiliwa na changamoto  ya ulemavu  wa viungo na kulazimika kutembea kwa kutumia mikono(kutambaa) Pamoja na mambo mengine tulimpatia msaada wa kiti cha magurudumu(wheel chair), vyakula  ( mchele, unga, …

Read More »

MIGOMBA MABINGWA KOMBE LA SIRRO CUP 2018 KIBITI

5

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarest Ndikilo akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Migomba kutoka Rufiji kabla ya kuanza kwa fainali ya kombe la IGP Sirro (Sirro Cup 2018 Kibiti) iliyoikutanisha timu hiyo na Mjawa kutoka Kibiti katika uwanja wa Samora Kibiti. Migomba walifanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuichapa …

Read More »

Mtanzania Ateuliwa kuwa Mkurugenzi MultiChoice Africa

Maharage chande 2

MULTICHOICE AFRICA YATANGAZA UTEUZI WA WAKURUGENZI Mtanzania kuongoza kanda ya Africa Mashariki na Magharibi Dar es Salaam 20 May 2018: Kampuni ya MultiChoice Africa Limited imethibitisha uteuzi wa Wakurugenzi wawili ambapo Mtanzania Maharage Chande, ambaye ni  Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania anakuwa Mkurugenzi mpya wa kanda ya Afrika Mashariki na …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AMESALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM.MEI 20,2018

6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Mei 20,2018. Paroko msaidizi wa parokia ya Osterrbay Padre Asis Mendokta akiongoza ibada ambayo pia Rais wa …

Read More »