Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 21

Daily Archives: May 21, 2018

Wafanyabiashara Wadogo 17,601 Morogoro Kupatiwa Vitambulisho Vya TRA

PICHA 1

Baadhi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo Mkoani Morogoro wakishangilia kwa furaha mara baada ya kukabidhiwa vitambulisho maalum vinavyorasimisha rasmi shughuli zao za biashara mkoani hapo wakati wa uzinduzi wa utoaji vitambulisho kwa wafanyabiashara hao linalofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)   kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi za Serikali, 21 Mei, …

Read More »

IGP SIRRO AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic Clavier (katikati), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo, ambapo balozi huyo imeahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi hilo kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama. Mkuu wa Jeshi la …

Read More »

Mapato Yatokanayo na Utalii Yaongezeka kwa Asilimia 5.6

Pix 5 Mhe.Kigwangalla

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dkt Hamisi Kigwangalla akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019. ………….. Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Mapato yatokanayo na utalii yameongezeka kutoka Dola za Marekani milioni 2,131.57 kwa mwaka 2016 hadi kufikia Dola za Marekani …

Read More »

MOZAMBIQUE AND GREAT LAKES AFRICA ENERGY SIGN MoU FOR POWER GENERATION

GLAE Mozambique

Mozambique Minister for Mineral Resources and Energy Dr. Max Elias Tonela (left) confers with Great Lakes Africa Energy (GLAE) Shareholder, Humphrey Kariuki (centre) and GLAE Director, Mr. Michael Kearns (right) at an MoU signing ceremony in Maputo, Mozambique. The Government of Mozambique has signed a Memorandum of Understanding (MoU) with Great Lakes Africa …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO

Pix 1 Andrew Chenge

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Viongozi waandamizi wa Wizara ya maliasili na Utalii wakiongozwa na Katibu mkuu Meja Jenerali  Gaudence Milanzi na Naibu Katibu Mkuu Dkt.Aloyce Nzuki wakifatilia shughuli …

Read More »

NDITIYE: SERIKALI YATOA BILIONI KUMI KUBORESHA RELI YA TAZARA

JPEG. NA. 2

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akipanda kiberenge kwa ajili ya safari ya ziara yake ya kikazi ya kukagua reli ya TAZARA katika eneo la Mlimba, Morogoro hadi Makambako, Iringa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kulia) akitoa maelekezo kwa Naibu Mkurugenzi …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

4.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni Mhita (kulia) ambaye pia  amechaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA,CUBA

DSC_7681

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi Mpya   wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe.Alphayo Kidata  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha,  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali …

Read More »

KWA HERI ANDRES INIESTA

4C7A4C3300000578-0-image-a-93_1526853139162

Andres Iniesta amekamilisha huduma yake ya kuichezea Barcelona katika mechi ambayo Barcelona imewaadhibu Real Sociedad wakati wa mechi za mwisho za La Liga.PICHA ZAIDI SOMA HAPA  Iniesta ameagwa kishujaa kwani mashabiki waliunda maandishi ya kumuaga, uwanja ukawashwa taa maalumu kwa ajili yake na akajitokeza machozi yakimtoka akasema, nilifika hapa nikiwa …

Read More »

BALOZI WA CHINA ATETA NA DK MENGI, AAHIDI KUSAIDIA MABADILIKO

CHINA+1

 Balozi wa China nchini Tanzania, Mh. Wang Ke (kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dk. Reginald Mengi kuhusu ushirikiano wa kibiashara baina ya makampuni ya China na Tanzania ofisini kwa mwenyekiti huyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dk. Reginald Mengi akifafanua …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MUUNGANO NA MAZINGIRA ATOA MIEZI SITA KWA KIWANDA CHA HUACHENG KINACHOCHINJA NA KUSAFIRISHA NYAMA YA PUNDA MKOANI DODOMA KUONDOA MABAKI YA MIUNDO MBINU YA VYUMA NA MBAO

4

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola mwishoni mwa wiki ameendelea na ziara ya kukagua uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira. Pichani akipata maelezo kutoka kwa Afisa Afya wa Jiji Bw. Carle Lyimo mara baada ya kutembelea kiwanda cha kuchinja punda cha HUACHENG kinachomilikiwa …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU MKUU MTEULE WA KANISA LA ANGLIKANA NCHINI MAIMBO MNDOLWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa kabla ya kwenda kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli …

Read More »