Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 22

Daily Archives: May 22, 2018

SHAABAN IDD ‘MAJERUHI TU NDIYO YALINIHARIBIA MSIMU HUU’

WhatsApp Image 2018-05-22 at 15.39.40

By Abducado Emmanuel MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Shaaban Idd, amekiri kuwa kuwa nje ya dimba kwa takribani miezi saba akiuguza majeraha ya nyonga kulimwaribia kuendeleza kasi aliyokuwa nayo msimu uliopita. Usiku wa kuamkia leo, Shaaban ameiongoza Azam FC kuichapa Tanzania Prisons mabao 4-1 kwenye mchezo …

Read More »

WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC

WhatsApp Image 2018-05-22 at 15.16.15

  Mabalozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Yohana Lambo Mayenga pamoja na Suzane William Mollel wamekutana na Wafunzi wa Chuo Kikuu Zanzibar kilichopo Tunguu, Ujunga visiwani Zanzibar, kwa lengo la kutoa mafunzo na kuwahamasisha Wanafunzi wa vyuo vikuu (Vijana) nchini kote, kuufahamu umuhimu wa Ushirikiano wa …

Read More »

RC TABORA AZINDUA BODI MPYA YA PAROLE

1

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA MKUU  wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameitaka Bodi  mpya ya Parole ya Mkoani humo kutekeleza  majukumu yake kwa uadilifu kwa lengo la kupunguza wafungwa ambao idadi yao ni kubwa ukilinganisha na uwezo wa magereza. Alisema wajumbe wanapaswa kufanya kazi kwa uadilifu huku akiitaka jamii …

Read More »

DC, GEUZENI MAPORI YA RUANGWA KUWA MASHAMBA

IMG_20170908_124729

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti amewataka wananchi wa Ruangwa kugeuza mapori yaliyopo Wilayani humo kuwa mashamba. Amesema hayo wakati wa maonesho wa shamba darasa la zao la alizeti yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala kata ya Nandagala iliyopo Wilayani Ruangwa. Mheshimiwa Mkirikiti alisema hayo kutokana na eneo kubwa la …

Read More »

DAWA ZAVUSHWA KUPITIA MTO WENYE MAMBA MKOANI RUVUMA

IMG_5995

 Wakazi wa vijiji vilivyopo kandokando ya mto Ruvuma wilayani Nyasa mkoani Ruvuma na wafanyakazi wa Bobari ya Dawa (MSD), wakisaidia kushusha maboksi yenye dawa na kuyaingiza kwenye mtumbwi baada ya kupelekewa na MSD Kanda ya Iringa leo na baadae kuyapeleka katika Zahanati ya Kijiji cha Mitomoni.  Maboksi ya dawa yakiingizwa kwenye …

Read More »

Saba Wafariki kwa kipindupindu Rukwa

DC Sumbawanga

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amethibitisha kufariki kwa wagonjwa saba wa kipindupindu katika Wilaya ya Sumbawanga huku wagonjwa wengine 44 wakibaki wodini kuendelea kupatiwa matibabu na wagonjwa 115 wakiruhusiwa kurudi nyumbani. Amesema kuwa ugonjwa huo umelipuka tarehe 6 Mei, 2018 katika Kijiji cha Mayenje, kata ya Milepa …

Read More »

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AWATEMBELEA WANANCHI JAMII YA WAHADZABE NA WATATOGA KATA YA ESHKESH WILAYANI MBULU MKOA WA MANYARA

k15

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akizungumza na wananchi wa jamii za Wahdzabe Watatoga na Wasukuma wakati alipotembelea Kata ya Eshkesh  kijiji cha Dumanga Yaeda Chini wilayani Mbulu mkoa wa Manyara wakati alipozitembelea jamii hizo ili kuzungumza nao kuhusu maisha yao pamoja na uhifazi …

Read More »

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA NABII MWINGIRA NA WANAFUNZI KUTOKA CHUO KIKUU CHA MICHIGAN LEO OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

V25A8726

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Kulia ni Mke wake wa Nabii, Ndg. Eliakunda Josephat Mwingira  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)akimsikiliza Mhe. Anna Lupembe (aliesimama) akizungumza wakati walipotembelewa na ugeni ulioongozwa na …

Read More »

Wanarukwa Watolewa Mashaka kuhusu Ebola

IMG_3929

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewatoa mashaka wanarukwa juu ya kutokuwepo kwa ugonjwa wa Ebola katika Mkoa na kutahadharisha yeyote anaejaribu kuleta hofu ya ugonjwa huo katika Mkoa na kuwataka wananchi wasijengewe hofu bali waendelee kuchukua hatua za tahadhari za kujikinga na ugonjwa huo. Amesema kuwa Mkoa …

Read More »

KOCHA ETIENNE NDAYIRAGIJJE NDIYE MRITHI WA PLUIJM SINGIDA UNITED

etienne-ndayiragije-kocha-wa-mbao-fc

TIMU ya Singida United imemthibitisha Mrundi, Etienne Nayiragijje kuwa kocha wake mpya, akichukua nafasi ya Mholanzi, Hans van der Pluijm anayeondoka.  Pluijm anaondoka Singida United baada ya msimu mmoja na taarifa zinasema Mholanzi huyo anahamia Azam FC ambao wanajipanga upya baada ya msimu huu mbaya kwao chini ya Mromania, Aristica …

Read More »

SHIDA YA UMEME KUSINI IMEKWISHA – MAJALIWA

PMO_9948

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema shida ya umeme iliyokuwa inaikabili mikoa ya Lindi na Mtwara hivi sasa imekwisha. “Kuunganishwa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye gridi ya Taifa, kumeondoa tatizo la umeme lililokuwa likiikabili mikoa hii, na mitambo ya jenerata iliyokuwepo, itabakia kuwa ya akiba endapo dharura yoyote …

Read More »

KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA MBAO FC UWANJA WA TAIFA LEO

YANGA

1-Youthe Rostand 2-Hassan Kessy 3-Gadiel Michael 4-Abdalaha Shaibu Ninja 5-Said Juma Makapu 6-Maka Edward 7-Yusuph Mhilu 10-Thabani Kamusoko 9-Pius Buswita 10-Raphael Daudi 11-Emmanuel Martin SUBs -Benno Kakolanya -Salum Hassan Fakhi -Yusuph Seleman -Paul Geofrey -Geofrey Mwashiuya -Baruani Akilimali -Matheo Antony

Read More »

Ziara ya Kinana Afrika Kusini

IMG_20180522_121646

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akimkabidhi Rais wa Chama Cha Ukumbozi wa Afrika Kusini (ANC) Rais wa  Afrika ya Kusini Cyril Ramaphosa barua maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli, Makao Makuu ya ANC jijini Johanesburg, jana. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Katibu Mkuu …

Read More »

Mtanzania Ateuliwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Mazingira

Ms. Msuya-photo

Na.Mwandishi Wetu-MAELEZO. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Antonio Guterres ametangaza uteuzi wa Bi.Joyce Msuya kutoka Tanzania kuwa naibu katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa anayeshughulikia program ya mazingira yenye makao makuu yake Nairobi nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa ya Umoja wa mataifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari leo …

Read More »