Friday , March 22 2019

Home / 2018 / May / 23

Daily Archives: May 23, 2018

TIMU YA NAPOLI YAMTANGAZA CARLOS ANCELOTTI KUWA KOCHA WAO MPYA

carloancelotti

Klabu ya Napoli imemteua Carlo Ancelotti kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo kuchukua nafasi ya Maurizio Sarri ambaye ametangaza kuihama klabu hiyo. Ancelotti baada ya kutimuliwa Bayern Munich hakuwa na timu hivyo amesaini Mkataba wa miaka mitatu ndani ya Napoli ambao wamemaliza katika nafasi ya Pili kwenye Ligi ya Serie …

Read More »

WAZIRI WA MAJI KAMWELWE ATAHADHARISHA KUWAFUKUZA WAHANDISI

1

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akisisitiza jambo kwa wataalamu alipotembelea mradi wa maji Iyula halmashauri ya Mbozi, kushoto kwake ni Kaimu Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya maji Mkoa wa Songwe Mhandisi Tanu Deule. Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akikagua chanzo cha maji Itaka katika …

Read More »

KITENGO CHA USAID CHA KUKUZA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI CHAZINDUA TATHMINI YA SERA ZA UWEKEZAJI TANZANIA KWA MWAKA 2018 ILI KUCHOCHEA, KULINDA NA KUENDELEZA UWEKAZAJI KUTOKA NJE

index

Dar es salaam, Tanzania  Kitengo cha Shirika la Kimarekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) cha Kukuza Biashara na Uwekezaji katika nchi za Afrika Mashariki (East Africa Trade and Investment Hub) kimezindua Taarifa ya Tathmini ya Sera za Uwekezaji za Tanzania kwa mwaka 2018 (Tanzania Investment Policy Assessment 2018) ikiwa ni …

Read More »

KOCHA WA PSG,RASMI ACHUKUA MIKOBA YA ARSENE WENGER NDANI YA ARSENAL

4C8CD75400000578-5757419-image-m-31_1527066384424

Unai Emery ametambulishwa rasmi kuwa kocha mpya wa Arsenal akichukua nafasi ya Arsene Wenger PICHA ZAIDI SOMAHAPA   WASIFU WA KOCHA UNAI EMERY   Kuzaliwa: Hondarribia, Hispania Novemba 3, 1971 MCHEZAJI Alianzia Real Sociedad, akacheza mechi tano za La Liga wingi ya kushoto kabla ya kuhamia Toledo ya Daraja la Pili. KOCHA 2005-06 Lorca Deportiva …

Read More »

NAIBU SPIKA, DKT. TULIA AZUNGUMZA NA BAADHI YA WANACHAMA WA CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA LEO OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

V25A9437

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akisalimiana na Mlezi Chama cha Viziwi Tanzania, Ndg. Hashim Ismail (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akimsikiliza Mlezi Chama cha Viziwi Tanzania, Ndg. Hashim Ismail (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini …

Read More »

TANZANIA INAHITAJI WAWEKEZAJI – WAZIRI MKUU

RG1A8025

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania bado inahitaji wawekezaji na kupitia kwenye uwekezaji, inapata fursa ya mitaji na teknolojia za kisasa.   Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Mei 23, 2018) wakati akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Bw. Alfayo Kidata ambaye alifika kumuaga kwenye makazi yake jijini Dar …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO 23.5.2018

Pix 1 Mhe Tulia Ackson

Naibu Spika wa Bunge la  Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Tulia Ackson akitambulisha wageni wa jukwaa la Spika wakati wa kikao cha thelathini na tano cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Rais wa Umoja wa Vijana wa Bunge la Afrika na Mbunge wa Handeni Vijijini Mhe.Mboni Mhita akitoa shukurani …

Read More »

Ilala Yaahidi Kudumishia Miradi ya Dar – Urban

BN648813

Na Mwandishi Wetu Halmashauri ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imeahidi kuendeleza na kudumisha miradi iliyoachwa na shirika la Plan International katika maeneo ya Buguruni na Vingunguti. Ahadi hiyo imetolewa leo jijini humo na Katibu Tawala wa Halmashauri hiyo, Edward Mpogolo alipokuwa akifunga programu ijulikanayo kama Dar – …

Read More »