Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / May / 24

Daily Archives: May 24, 2018

KAMANDA SIRRO AONYA WALIOPATA MSAMAHA WA RAIS

PMO_0490

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi, Simon Sirro amewaonya watu waliopata msamaha wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa Aprili 26, 2018 wajichunge tabia na matendo yao.   Ametoa onyo hilo leo (Alhamisi, Mei 24, 2018) mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akitoa taarifa ya ujenzi wa vituo vya polisi …

Read More »

WAZIRI JAFO AKERWA NA UJENZI MBOVU WA MADARASA

JC6A9595

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo akitoa maagizo kwa Mkandarasi SUMA JKT baada ya kukagua ujenzi wa madarasa manne LEO yaliyojengwa katika shule ya Sekondari ya Hombolo, Jijini Dodoma.    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na …

Read More »

UNAI EMERY:NINATAKA ARSENAL IWE KLABU BORA ZAIDI DUNIANI

_101727016_emery_pa_new

Meneja mpya wa Arsenal Unai Emery amesema anataka klabu hiyo kuwa miongoni mwa klabu bora zaidi Ulaya kwa mara nyingine, na hata bora duniani. Alisema hayo alipohutubiwa wanahabari kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa kuwa mrithi wa Arsene Wenger. Mkufunzi huyo wa miaka 46 aliwasilishwa rasmi kwa mashabiki na …

Read More »

WANAFUNZI WAHITIMU KIDATO CHA SITA SKULI YA TUMEKUJA MJINI ZANZIBAR

4

Mwalimu Mkuuwa Skuli ya Tumekuja Khamis Ngwali Mshenga  akimakribisha Mgeni Rasmi wakati alipofika katika Maghafali hayo. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib ambaye ni Mgani Rasmin Mh. Ayoub Mahamoud  akitowa maelezo kwa wanafunzi walio hitimu  kidato cha sita Skuli ya Tumekuja hawapo pichani Wanafunzi Waliyohitimu kidato cha Sita wakimkaribisha Mgeni …

Read More »

WAWATAKA VIJANA WENZANZO WA KIKE KUJITOKEZA KUPATI CHANJO

SND

Na Mahmoud Ahmad Dodoma ZOEZI la utoaji wa chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa Wanawake limezinduliwa rasmi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma huku wasichana waliopatiwa chanjo hiyo wakitoa wito kwa wenzao kujitokeza na kuhakikisha wanakingwa dhidi ya ugonjwa huo. Uzinduzi huo umefanyika …

Read More »

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA VICHWA VYA TRENI ZA MWENDOKASI KUTOKA NCHINI CHINA

PIC c

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na wataalam kutoka Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni za Mwendokasi, mapema leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Mwakilishi katika bara la Afrika wa Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na …

Read More »

MAPORI MATANO YA AKIBA MKOANI KAGERA NA GEITA KUPANDISHWA HADHI YA KUWA HIFADHI ZA TAIFA (NATIONAL PARKS)

CW4A4246

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamisi Kigwangalla akizungumza bungeni alipokuwa akijibu hoja wa wabunge waliochangia mjadala wa bajeti wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma juzi.   …………………………………………………… Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza kuanza mchakato wa kuyapandisha hadhi Mapori …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI

Pix 1 Spika akiongoza dua

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akisoma dua ya kuliombea Bunge wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa Fedha …

Read More »

RASMI INIESTA AJIUNGA NA TIMU YA VISSEL KOBE YA JAPAN

4C94D87100000578-5765951-image-a-21_1527150854628

  STAA wa Soka duniani kutoka Barcelona ya Hispania, Andrés Iniesta amesaini kandarasi ya kujiunga na Klabu ya Soka ya Vissel Kobe ya nchini Japan na kukabidhiwa jezi namba 8.   Kiuongo huyo mwenye umri wa miaka 34, bado yupo kwenye kikosi cha Hispania kilichotangazwa na Kocha Julen Lopetegui kuwania …

Read More »