Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 25

Daily Archives: May 25, 2018

MSIKIMBILIE KUUZA UFUTA – WAZIRI MKUU

PMO_1203

*Aonya wakulima wasiwauzie chomachoma, ataka wasubiri minada  *Akabidhi mikopo kwa akina mamalishe na babalishe   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya wakulima wa ufuta wasikimbilie kuuza zao hilo kwa wanunuzi wasio rasmi maarufu kwa jina la chomachoma bali wasubiri minada itangazwe mwezi ujao.   “Ninawasihi msikubali kuuza kwa akina chomachoma bali …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU AKIWEMO RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN MKAPA, MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA NA VIONGOZI WENGINE

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kushoto) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA RUVU SHOOTING UWANJA WA TAIFA LEO

FB_IMG_1518606466019

Mechi ya Ligi kuu Tanzania Bara (vpl)  Mzunguko wa 29 muda saa 10:00 Jion utachezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ambapo Ligi nzima itafikia tamati siku ya Jumatatu 1-Ramadhani Kabwili 2-Hassan Kessy 3-Gadiel Michael 4-Abdalaha Shaibu Ninja 5-Said Juma Makapu 6-Maka Edward 7-Pius Buswita 8-Papy Tshishimbi 9-Matheo Anthony …

Read More »

Serikali Kuhakikisha Ubora wa Zao la Korosho Unaendelea Kuzingatiwa

Pix 2 Mhe.Mwanjelwa

Na: Frank Mvungi- MAELEZO Serikali    kuendelea  kuhakikisha  kuwa  Korosho zinazozalishwa hapa  nchini zinakuwa na ubora unaotakiwa katika Soko la Kimataifa ili kuendelea kukuza uzalishaji na kuchochea maendeleo hapa nchini. Akijibu swali  la Mbunge wa Mtwara Vijijini Mhe. Hawa  Ghasia , Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt. Mary Mwanjwelwa amesema kuwa …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO

Pix 1 Mwenyekiti Zungu

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Mussa Zungu akiongoza kikao cha thelathini na saba cha mkutano wa kumi na moja Jijini Dodoma leo. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt Mary Mwanjelwa akieleza mikakati ya Serikali kuhakikisha kuwa zao la korosho  linaendea kuwanufaisha wakulima Bungeni Jijini Dodoma. Waziri …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

MSANGI

  MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUJI DHIDI YA MTOTO WAKE WILAYANI UKEREWE. MNAMO TAREHE 23.05.2018 MAJIRA YA SAA 14:00HRS MCHANA KATIKA KIJIJI CHA HAMKOKO KILICHOPO WILAYA YA UKEREWE MKOA WA MWANZA, MTU MMOJA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA BUYANZA MAGAYANE MIAKA 39, MKULIMA NA MKAZI …

Read More »