Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 26

Daily Archives: May 26, 2018

TUJIEPUSHE NA VITENDO VYA CHUKI – WAZIRI MKUU

PMO_1963

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya Kiislamu wajiepushe na vitendo vinavyoweza kupandikiza chuki dhidi yao au kwa waumini wa dini nyingine.   Ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Mei 26, 2018) wakati akizungumza na viongozi na mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu walioshiriki mashindano ya kitaifa …

Read More »

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-ZANZIBAR- RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa …

Read More »

TIMU YA SOKA YA NAMUNGO YAPATA WADHAMINI

WAZIRI MAJALIWA NA TIMU YA MPIRA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu ya soka ya Namungo ya Wilaya ya Ruangwa imepata udhamini wa sh. milioni 150 katika msimu ujao wa ligi daraja la kwanza.   Waziri Mkuu ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa, ametoa kauli hiyo jana (Ijumaa, Mei 25, 2018) wakati akizungumza na mamia …

Read More »

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma akagua vituo vya afya Madaba

index1

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Christina Mndeme amekagua ujenzi wa kituo cha Afya cha Mtyangimbole Kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Wilaya ya Madaba  Mhe Mndeme ameelezwa kuwa kukamilika kwa kituo hicho ni hatua muhimu sana ya utoaji wa Huduma za Afya kwa wananchi wa eneo hili kwani huduma Bora …

Read More »

MAKAO MAKUU HALMASHAURI YA BUMBULIKUJENGWA KWEHANGALA

MBUGH

PICHANI: Ramani ya jengo la Halmashauri ya Bumbuli litakavyokuwa. (Picha na Yusuph Mussa, Immamatukio Blog). ……………………………………………….. Na Yusuph Mussa, Bumbuli Immamatukio Blog HATIMAYE Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Bumbuli katika Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga ujenzi wake unatarajiwa kuanza mapema Juni, mwaka huu kwenye Kijiji cha Kwehangala katika …

Read More »

DK.SHEIN KUONGOZA KIKAO CHA NEC TAIFA Z’BAR MAY 27, 2018.

images

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar.   Kikao kitafanyika siku ya Jumapili  May 27, 2018 katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM, …

Read More »

ENG.MASAUNI AKAIKABIDHI KOMPUTA TANO CCM ZANZIBAR.

DSC04302

KATIBU mstaafu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Mhansisi. Hamad Yussuf Masauni (kushoto) akimkabidhi Komputa (Laptop) Naibu  Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla ‘’Mabodi’’ (kulia) , hafla hiyo imefanyika Afisi Kuu CCM Kisiwandui Zanzibar. ……………………………………………………………… NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu …

Read More »

WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA UWANJA MPYA

index

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi. Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki zoezi hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018) kwenye uwanja huo unaojengwa katika kijiji cha Dodoma, kata ya Nachingwea, …

Read More »