Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 27

Daily Archives: May 27, 2018

UIMARISHAJI MPAKA ARUSHA

01

Bw. Nairoti Kenanda kutoka kijiji cha Njoroi katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha akishiriki kuchimba shimo lenye urefu wa mita moja kwa ajili ya kuwekwa alama ndogo ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Kenya unaopita katika kijiji hiko. Wanakijiji wa Kijiji cha Sukenya katika kata ya …

Read More »

MTANZANIA AIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA KUHIFADHI QURAN AFRIKA

PMO_2669

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Shujaa Suleiman Shujaa zawadi ya shilling milioni 15 baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kwanza wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-aan Tukufu Afrika yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikima kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Mei 17, 2018. Kulia ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir na watatu …

Read More »

MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AAN TUKUFU AFRIKA KWENYE UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM

PMO_2348

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Mashindano ya 19 ya Kuhifadhi Qur- aan Tukufu  Afrika yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Al – Hikima, Mei 27, 2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Dini …

Read More »

QNET YATOA MSAADA WA CHAKULA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA NEW LIFE ORPHANS HOME JIJINI DAR ES SALAAM WENYE THAMANI YA SH.MILIONI 9

_MG_6554

Meneja wa QNET, Muqtadir Suwani(wa tatu kutoka kushoto waliosimama nyuma) akiwa na mawakala huru wa kampuni ya QNET Tanzania mara baada ya kutoa msaada wenye thamani ya zaidi ya milioni Tsh.9/- kwa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu cha New Life Orphans Home kilichopo Boko jijini …

Read More »

MKAZI WA NYAMAGANA ASAIDIWA BAISKELI YA MIGUU MITATU

DSC05815

Fred Kaseko , mkazi wa Mtaa wa Nyerere A Mabatini kabla ya kupata msaada wa baiskeli ya miguu mitatu alikuwa akitambea kwa kutumia  mikono. Sheikh wa Bilal Muslimu Mission of Tanzania Hashim Ramadhan (kulia) akimkabidhi baiskeli ya miguu itatu Fred Kaseko.Nyuma ni familia ya Kaseko ambaye anasumbuliwa na miguu kupooza …

Read More »

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA PAMOJA KATI YA WAJUMBE WA KAMATI YA UONGOZI NA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI OFISI YA BUNGE LEO KATIKA OFISI ZA BUNGE JIJINI DODOMA

V25A0409

  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)akiongoza kikao cha pamoja kati ya Wajumbe wa Kamati ya Uongozi na Wajumbe wa Tume ya Utumishi Ofisi ya Bunge kilichokutana kujadili taratibu za mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu (CHADEMA), Marehemu Kasuku Bilago aliyefariki jana majira ya saa 9 alasiri …

Read More »

MASHEIKH WA BILAL WASAIDIWA VYOMBO VYA USAFIRI

DSC05836

Mwenyekiti wa taasisi ya The Bakhiyatullah Foundation (TBF) ya jijini Mwanza Sheikh Hashim Ramadhan akizungumza na baadhi ya masheikh kabla ya kuwakabidhi pikipiki kwa ajili ya usafiri. Kulia ni mfadhili aliyetoa pikipiki hizo Sibtain Meghjee wa The Desk & Chair Foundation tawi la Tanzania na mwenye kilemba ni Maulana (waliokaa) …

Read More »

CHALIWASA YAASWA KUACHA KUSAMBAZA MAJI KWA UPENDELEO

IMG_20180524_163537

Diwani wa Kata ya Miono Juma Mpwimbwi akizungumza wakati wa  mkutano na wananchi Kata ya Miono ,Bagamoyo ,ulioitishwa na Mkuu wa  Mkoa wa  Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo. Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ,alhaj Majid Mwanga ,akizungumza wakati wa  mkutano na wananchi,Kata ya Miono ,Bagamoyo ulioitishwa na Mkuu wa  Mkoa wa  …

Read More »

MPINA AMWAGA PIKIPIKI KWENYE MINADA YA MIPAKANI

a

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina(mwenye miwani) akikagua moja  kati ya  pikipiki kumi kabla ya kuzikabidhi ili zitumike kwenye minada ya mipakani na upili.Picha na John Mapepele  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina (mwenye miwani) akikata utepe kwenye moja  kati ya  pikipiki kumi kabla ya kuzikabidhi …

Read More »