Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 29

Daily Archives: May 29, 2018

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC)

DSC_0027

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akizungumza na kumpongeza Dk.Bashiru Ali (kulia) mara baada ya kuteuliwa na kupata ridhaa ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa  ulioendelea leo …

Read More »

MUDA WA KUSHUGHULIKIA MIZIGO MPAKANI RUSUMO WAPUNGUA

PICHA NAMBA 1

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (katikati) akizungumza wakati wa Mkutano wa kwanza wa Kamati ya Uratibu wa Pamoja wa Mradi wa Maendeleo wa Kuwezesha Biashara na Udhibiti wa Mipaka Afrika Mashariki uliofanyika leo Zanzibar. Kushoto ni Mhe. Audace Niyonzima wa Mamlaka ya Mapato Burundi …

Read More »

VODACOM YAADHIMISHA MIAKA 10 YA M-PESA.

????????????????????????????????????

MKurugenzi  Mtendaji wa Vodacom Tanzania ,Ian Ferrao (katikati) akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi  wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia   (kushoto)  wakati akifafanua jambo kwa waandishi wa habari  jijini Dar es salaam,  wakati wa mkutano uliohusu maadhimisho ya sherehe za miaka 10 ya M-Pesa  yatakayofanyika juni 13 , …

Read More »

TANROADS SINGIDA YAOKOA BILIONI 30

????????????????????????????????????

Muonekano wa sehemu ya ujenzi wa Barabara ya Njuki-Ilongero-Ngamu yenye urefu wa KM 1 inayojengwa kwa kiwango cha lami, Mkoani Singida. Meneja wa TANROADS Singida, Mhandisi Leonard Kapongo, akimwonyesha Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandika maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Njuki-Ilongero-Ngamu yenye urefu wa KM 1 ambayo inajengwa kwa …

Read More »

VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR VYATAKIWA KULIPA WASANII

MH.WANU H.AMEIR

Ali issa na Bahati Mahamoud Maelezo Zanzibar Vyombo vya habari vya  Serekali vimetakiwa kuharakisha kulipa deni la mirabaha million 80 zinadaiwa kuwalipa  wasanii ambao hawajapata    stahiki zao zinazotokana na kazi zao kutumika na vyombo hivyo kwamda mrefu. Hayo yameelezwa leo  huko baraza la wakilishi nje kidogo ya mji wa Zanzibar …

Read More »

TPA TANGA YAJIVUNIA KASI YA UTOAJI HUDUMA

_MG_6317

  MENEJA wa Bandari ya Tanga (TPA) Percival Salama kulia akimueleza Waziri wa Viwanda, Biashara  na Uwekezaji Charles Mwijage  mipango ya bandari hiyo na namna walivyoboresha huduma zao kwa wafanyabiashara wanayoitumia   Waziri wa Viwanda, Biashara  na Uwekezaji Charles Mwijage akisalimia na Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama mara …

Read More »