Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 30

Daily Archives: May 30, 2018

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO YAOMBWA KUJENGA BARABARA YA BAGAMOYO,MAKURUNGE HADI SAADAN

_MG_6132

Afisa Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadan Athuman Mbae akizungumza na waandishi wa habari AFISA Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadan Athuman Mbae ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano kuijenga barabara ya Bagamoyo,Makurunge hadi kuingia Hifadhini ili kuondoa kero kwa watalii hasa nyakati za mvua. Hayo ameyazungumza kwenye …

Read More »

MNYETI AAGIZA MANYARA IKAMILISHE VIWANDA 100

IMG-20180529-WA0032

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pastory Mnyeti akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati, wakiwemo maofisa tarafa, madiwani, watendaji wa kata, vijiji, walimu na wenyeviti wa vijiji, juu ya kufanya kazi kwa uadilifu na kutumikia jamii, kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo mhandisi Raymond Mushi. Mkuu wa …

Read More »

Mfumo wa Malipo wa TigoPesa Masterpass QR Waanza Kutumika Tanzania

MMG_7981

Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Simon Karikari (wa pili kulia) akisalimiana na  Rais wa Mastercard, Kusini mwa Jangwa la Sahara,  Raghav Prasad (wa pili kushoto) kuashiria kuanzishwa rasmi kwa mfumo mpya wa malipo wa Tigo Pesa- Mastercard QR wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wanashuhudiwa na Mkurugenzi …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA MBWANA SAMATTA AFANYA ZIARA MAKKA

samatta-1

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, na mchezaji wa timu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta (kulia) akiwa msikitini Makka. …Akiwa na mchezaji mwenzake wa timu ya Genk,  Omar Colley. Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta,  anayekipiga katika timu ya Genk ya nchini Ubelgiji …

Read More »

Zanzibar, Saudia Kukuza Ushirikiano

DSC_0201

Na Mwashungi Tahir-Maelezo Zanzibar 30-5-2018 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman,  amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Serikali za Falme za Kiarabu katika kuleta maendeleo zaidi nchini. Akizungumza na Waziri wa masuala ya kiislam na  mihadhara  ya kidini  kutoka falme …

Read More »

Serikali Yawahakikishia Wananchi Kuwa EFD Zitaendelea Kufanya Kazi Wakati Wowote Kuanzia Sasa.

IMG_0732

Na Frank Mvungi – MAELEZO, Dodoma. Serikali imewahakikishia Wananchi kuwa inafanya juhudi za maksudi kuhakikisha kuwa changamoto iliyojitokeza  katika mashine za kutolea risiti za Kielekroniki (EFD) inapatiwa ufumbuzi haraka iwezekanavyo ili wananchi waendelee kupata huduma hiyo. Akitoa maelezo hayo leo Bungeni Jijini Dodoma  kufuatia hoja iliyotolewa na Mbunge wa Sumve …

Read More »

Vijana Kunufaika na Mikakati ya Kuzalisha Ajira

DabSbhIWAAEgTg_

Na: Frank Mvungi – MAELEZO, Dodoma. Serikali imesema kuwa imeandaa mikakati ya muda mfupi na muda mrefu ili kuwawezesha vijana kujiajiri na hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi na maendeleo kwa ujumla. Akijibu swali la mbunge viti maalum Mhe. Catherine Nyakao Ruge wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni, …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI, MEI 30, 2018.

2 (2)

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola akijibu swali kuhusu utaratibu unaotumika kutoa ajira kwa wananchi katika sekta za Muungano leo Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo akisisitiza jambo kwa Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki  na Naibu Waziri Mhe. …

Read More »

DKT. ASHATU KIJAJI AZIPONGEZA BENKI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO

IMG_0732

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akifunga  warsha ya wadau wa Sekta ya Fedha iliyolenga kujadili mchango wa sekta hiyo katika kukuza uchumi wa viwanda leo Jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu akizungumza wakati wa  kufunga warsha  ya wadau …

Read More »

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA NMB NA KUPOKEA HUNDI YA SH. 10M KWA AJILI YA TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA NAMUNGO

PMO_3206

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bibi Ineke Bussemaker (katikati) na  Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Serikali wa NMB (Head of Government Business), Bibi Vicky Bishubo, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni  jijini Dar es salaam, Mei 30, 2018. Waziri …

Read More »

UJumbe wa Saudi Arabia wakutana na Dk.Shein

DSC_0160

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na  Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Misaada,Daawa na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh, akifuatana na Ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti …

Read More »

NITAZINDUA KAMPENI YA KUPIMA VVU – WAZIRI MKUU

PMO_3317

*Lengo ni kuhamasisha wanaume wapime afya zao, wajue hali zao *Ataka Wakuu wa Mikoa wahamasishe upimaji hadi ngazi za vijiji WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mwezi ujao, atazindua kampeni maalum ya upimaji wa virusi vya UKIMWI (VVU) ambayo imelenga kuwahamasisha wanaume wapime afya zao na kutambua hali zao.   “Serikali …

Read More »

SINGIDA UNITED YASAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA BRAZILI

Santos 1

  Klabu ya Singida United imeanza kuonesha juhudi za maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kwa kumshusha Mbrazil, Felipe Oliveria dos Santos kutoka Brazil. Santos amewasili Singida akiwa tayari ameshamalizana na timu hiyo iliyomaliza ligi msimu uliomalizika ikishika nafasi ya tano. Santos aliwahi kucheza soka lake katika klabu …

Read More »

MAJALIWA AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWA MFUKO WA DHARURA WA RAIS WA MAREKANI WA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI (PEPFAR)

PMO_3239

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Inmi Patterson wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuzindua   Maadhimisho ya Miaka 15 Tangu  Kuanzishwa kwa Mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Kudhibiti Maambukizi ya …

Read More »

DC SANGA ATOA TATHMINI YA AWALI YA MAAFA YA MVUA MKURANGA

IMG_1161

Diwani viti maalum Mkuranga ,Daima Utanga akizungumza jambo wakati wa kikao cha baraza la madiwani wilayani humo Mwenyekiti wa halmashauri ya Mkuranga ,Juma Abeid akizungumza jambo katika kikao cha baraza la madiwani ,wa kulia ni Mkurugenzi wa halmashauri hiyo ,Mshamu Munde Mwenyekiti wa halmashauri ya Mkuranga ,Juma Abeid akizungumza jambo …

Read More »

JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI – ZAHANATI YA KIJIJI CHA KURWAKI YAENDELEA KUJENGWA KWA KASI KUBWA, MICHANGO ZAIDI YAHITAJIKA ILI KUENDANA NA KASI HIYO

IMG-20180530-WA0054

Picha  inaonyesha maendeleo yaliyofikiwa ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kurwaki. …………… Na Fedson Masawa, Msaidizi wa Mbunge ZAHANATI ya Kijiji cha Kurwaki imeendelea kujengwa kwa kasi kubwa huku Wasimamizi wa Ujenzi huo ambao ni Kamati ya Ujenzi ya Kijiji wakiomba kuongezewa SARUJI ili kukamilisha ujenzi huo mapema iwezekanavyo. …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR

19

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi Mdogo wa Ujerumani nchini  Mhe. Jens Dominic Warth mara baada ya kufutari kwenye Makazi ya Makamu wa Rais, Tunguu Zanzibar jana jioni tarehe 29 Mei 2018. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Read More »