Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / June

Monthly Archives: June 2018

DK.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

DSC_8702

Baadhi ya Viongozi katika Waziri wa Fedha na Mipango wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao leo katika  mkutano wa  utekelezaji mpango kazi wa mwaka 2017/2018 kwa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha …

Read More »

NHC MNA JUKUMU LA KUWAFIKIA WATU WA CHINI -MAJALIWA

PMO_0499

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Jengo la Biashara la Singidani lililojengwa na Shirika  la Nyumba la Taifa  (NHC) mjini Singida Juni 30, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu  ………………. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lina jukumu kubwa la kuhakikisha sekta …

Read More »

KAMISHNA MKUU WA TRA AWAHIMIZA WANANCHI KULIPA KODI KWA WAKATI

PIX 2

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia) akizungumza na wananchi waliotembelea Banda la TRA katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba kwa ajili ya kulipa Kodi ya Majengo wakati Kamishna Mkuu huyo alipotembelea banda hilo kuona huduma mbalimbali zinazotolewa kwa wananchi. Kamishna Mkuu …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

DSC_8686

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika utekelezaji mpango kazi wa mwaka 2017/2018 kwa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Khalid Salım Mohamed …

Read More »

DStv NA UBER WAJA NA OFA KABAMBE!

2

  Kampuni za MultiChoice Tanzania na UBER zimetangaza ushirikiano maalum ambapo kwa sasa madereva wa UBER wanaweza kuwa mawakala wa DStv na na pia wateja wa DStv kupata punguzo maalum kwa safari zao kutumia UBER. Katika ushirikiano huo, medereva wote wa UBER wataweza kupata seti ya DStv kwa shilingi 69,000 …

Read More »

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAPILI 8.Julai 2018 MAMLING,AUSTRIA

Ngoma Africa Band aka FFU Hapa Kazi Tu

Baada ya kuwadatisha washabiki katika maonyesho mawili makubwa kule Regensburg Festival  na Birkenreid festival Ujerumani sasa kamanda Ras Makunja anakipeleka kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni katika onyesho kubwa la Mamling Festival   nchini Austria ,onyesho hilo litafanyika siku ya  jumapilii 8Julai 2018 ,akiongea na vyombo vya habari kiongozi …

Read More »

Kampuni ya Asas Dairies Ltd yaahidi kufunga mitambo ya kuchakata maziwa Busokelo mkoani Mbeya

Mhe.Ulega

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega akizungumza Bungeni Jijini Dodoma leo. …………………………………………………………………………… SERIKALI imesema Mwekezaji wa kampuni ya Asas Dairies Ltd ameahidi kufunga mitambo ya kuchakata maziwa kama kiasi cha maziwa kitaongezeka kwenye wilaya ya Busokelo. Aidha, kwa sasa mwekezaji anakusanya jumla ya lita 3600 za maziwa kwa …

Read More »