Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / June / 01

Daily Archives: June 1, 2018

SERIKALI HAIRIDHIKI UBIA KIWANDA CHA URAFIKI – WAZIRI MKUU

PMO_3842

*Aagiza Waziri wa Viwanda, RC na Menejimenti wakae na kumpa taarifa leo jioni *Asema tofauti ya viwango vya mishahara inatisha, ataka orodha ya watumishi *Awataka watumishi walioko kazini, likizo wawe wastahimilivu   SERIKALI imesema hairidhiki na ubia unaoendeshwa kwenye Kiwanda cha Nguo cha Urafiki.   Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA URAFIKI NA KUKUTA MADUDU

PMO_3770

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita katika eneo zilipong’olewa mashine za kiwanda cha nguo cha Urafiki cha jijini Dar es salaam wakati alipotembelea kiwanda hicho Juni 1, 2018. Kiwanda hicho kimesimamisha uzalishaji tangu Desemba mwaka jana.    Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa …

Read More »

NDAYIRAGIJJE ‘AWAACHIA VUMBI’ MBAO FC, ATUA KMC

34064674_605248909854891_1580597949757390848_n

KOCHA Mrundi, Ettiene Ndayiragijje  amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) iliyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao.  Ndayiragijje anajiunga na KMC akitokea klabu ya Mbao FC ya Mwanza ambako amedumu kwa misimu miwili tangu ajiunge nao akitokea kwao Burundi. Ndayiragijje ametia saini …

Read More »

ASAS DAIRIES LTD YAGAWA MAZIWA KWA WANAFUNZI MIKOA YA MBEYA, ARUSHA,IRINGA NA DODOMA MAADHIMISHO YA UNYWAJI MAZIWA DUNIANI

mav1

Naibu Waziri Wa Kazi Ajira Na Vijana Mheshimiwa Anthony Mavunde Akigawa Maziwa Ya Asas Kwa Wanafunzi Waliojitokeza Kwenye Viwanja Vya Nyerere Square jijini Dodoma Kwenye Kilele Cha Unywaji Wa Maziwa Duniani Ambapo Kitaifa Imeadhimishwa Mkoani Arusha Wanafunzi Wa Shule Ya Msingi Nkuhungu Ya jijini  Dodoma Wakigawiwa Maziwa kutoka ASAS DAIRIES …

Read More »

KATIBU MKUU MPYA WA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO

????????????????????????????????????

 Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto) akipokea vitendekazi kutoka kwa Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo jijini Dae es Salama  Baadhi ya Viongozi wakijiandaa kumlaki Katibu Mkuu huyo mpya  Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Wazazi …

Read More »

SERIKALI YATOA BILIONI 40 KUSHUGHULIKIA TATIZO LA MAJI MUHEZA

IMG_7494

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwele akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mashewa Tarafa ya Amani wilayani wakati alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo  MKUU wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza katika ziara hiyo ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe kulia wilayani Muheza  MKUU …

Read More »

BENKI YA PBZ WAFUTARISHA

DSC_0332

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Salum Mohamed alipofika katika  viwanja vya Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi alipohudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) jana, Rais …

Read More »

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO UWANJANI

CD Awamu Ya Tano Uwanjani

Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ,inayoongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras Makunja wenye makao yao nchini Ujerumani,bendi hiyo iliyojizolea umaarufu kila kona barani ulaya na kufanikiwa kuteka washabiki kwa kutumia muziki wao wa dansi wa bongo. Ngoma Africa band …

Read More »

HIMID MAO ASAINI MIAKA MITATU PETROJET YA LIGI KUU MISRI

15

NAHODHA wa Azam FC, Himid Mao Mkami amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na Petrojet ya Ligi Kuu ya Misri. Himid aliyeubukia timu ya vijana ya Azam FC mwaka 2011, yupo mjini Suez nchini Misri tangu juzi na jana amesaini mkataba kuanza kazi chini ya kocha Hassan Shehata. Himid ameondoka kwa …

Read More »