Friday , January 18 2019

Home / 2018 / June / 03

Daily Archives: June 3, 2018

JKU KAMA YANGA YATUPWA NJE MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

K 4

Na George Mganga JKU nayo imeungana na Yanga kuyaaga mashindano ya SportPesa Super Cup kufuatia kupoteza mchezo uliomalizika hivi punde kwa kufungwa mabao 3-0 na Gor Mahia FC kwenye Uwanja wa Afraha mjini Nakuru Kenya. JKU inakuwa timu ya pili kutoka Tanzania kuondoshwa katika michuano baada ya Yanga kukubali kichapo …

Read More »

BUJORA DANCE GROUP WAREJEA KWA SHANGWE NCHINI

IMG_0221

 Kiongozi wa msafara Hassan Ngoma(katikati) akiwa pamoja na wanakikundi cha Ngoma cha Bujora cha Mkoani  Mwanza wakiwa wamewasili kutoka Nchini India walipokuwa wameenda kwenye tamasha la ngoma za asili kwa mataifa ya Afrika takribani nane yaliyoanza kutimua vumbi Mei 25 hadi Mei 30 katika miji mitatu tofauti.   Na Agness …

Read More »

TANZIA

MAPASHA-3

  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kwa masikitiko na mshtuko mkubwa taarifa za vifo vya watoto mapacha walioungana Maria na Cosolata. Vifo hivyo vilivyotokea usiku wa kuamkia Juni 03, mwaka huu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa walipokuwa wakipatiwa matibabu vimeleta simanzi …

Read More »

Wanachama kuogelea wapitisha Katiba mpya

kuogelea

Baadhi wa wajumbe wa Kamati ya Muda na Wanachama wa chama cha kuogelea nchini (TSA) wakiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Baraza la Mchezo nchini (BMT) mara baada ya kupitisha Katiba mpya. …………………………………………………………………………… Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. baada ya kusua sua kwa muda mrefu, hatimaye Chama …

Read More »

WAFANYABIASHARA WAHIMIZWA KUTUMIA MASHINE ZA EFD

PICHA 1

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (kulia) akimsikiliza mmiliki wa duka la vifaa vya ujenzi Wilayani Kibaha mkoani Pwani wakati alipofanya ziara ya kikazi kujiridhidha utendaji kazi wa mashine za kielektroniki za Kutolea risiti (EFDs) ambazo mfumo wake ulipata hitilafu ya kiufundi hivi karibuni na …

Read More »

MOTO WATEKETEZA MADUKA NANE LAMADI MKOANI SIMIYU

PICHA 7

Na Stella Kalinga, Simiyu Moto ambao hadi sasa chanzo chake hakijafahamika umeteketeza maduka nane , stoo pamoja na mali za wafanyabiashara  ambazo thamani yake haijafahamika, katika Mji mdogo wa Lamadi wilaya ya Busega Mkoani Simiyu , usiku wa tarehe 02 Juni.   Akizungumzia jinsi moto huo ulivyoanza mmoja wa wakazi …

Read More »

Wafugaji nchini watakiwa kuunda vyama vya ushirika

kan1

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege akiongea na wadau wa ufugaji katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya maziwa kilichofanyika leo katika viwanja Nanenane Themi, Mkoani Arusha. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat …

Read More »