Friday , March 22 2019

Home / 2018 / June / 04

Daily Archives: June 4, 2018

SIMIYU YAKABIDHIWA ZAHANATI NA SHIRIKA LA LIFE MINISTRY

PICHA 1

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akikata utepe kuashiria kupokea Zahanati iliyojengwa na Shirika la Life Ministry katika Kijiji cha Itubukilo Wilayani Bariadi  ambayo ilikabidhiwa rasmi kwa Serikali na Shirika hilo Juni 03, 2018. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka(wa pili kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa …

Read More »

SERIKALI KUJADILI KODI ZA MIZIGO KUTOKA ZANZIBAR

IMG_0033

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akijibu Maswali ya Wabunge, Jijini Dodoma …………… NA Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma   Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaendelea kujadiana kuhusu namna bora ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa kero ya …

Read More »

YALIYOJIRI LEO TAREHE 4 JUNI, 2018 BUNGENI JIJINI DODOMA

V25A2822

Wageni Mbali mbali wakiwemo Manaibu Makatibu Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Makamishna wa Bajeti na Sera wakisikiliza hotuba ambapo Wizara ya Fedha na Mipango ilikuwa ikiwasilisha Bajeti yake leo Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. …

Read More »

SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI WA MAFAO YA WATUMISHI KABLA YA PSPF

IMG_0033

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akijibu Maswali ya Wabunge, Jijini Dodoma Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma  ……………… Serikali imesema kuwa watumishi wote wa Serikali Kuu walioajiriwa na kuthibitishwa katika ajira ya masharti ya kudumu na pensheni, kabla ya mwaka 1999 waliunganishwa katika Mfuko …

Read More »

Kilimo Kifanyiwe Mageuzi ya Uchumi Rais Magufuli

Pix 01

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akisisitiza jambo kwa wadau wa sekta ya kilimo (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa program ya kuendeleza sekta ya kilimo awamu ya pili (ASDP II) mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …

Read More »

TFF yaridhishwa na maandalizi ya Fainali ya Azam Sports Federation Cup iliyofanyika jijini jijini Arusha

index

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limeridhishwa na maandalizi yaliyofanikisha mchezo wa Fainali ya Azam Sports Federation Cup ikiwa pamoja na kuwashukuru Wadau mbalimbali. Fainali hiyo iliyowakutanisha Mtibwa Sugar na Singida United ilikuwa ya aina yake kwa ushirikiano wa TFF na Wadau mbalimbali. TFF inachukua nafasi hii kuishikuru Serikali ya …

Read More »

MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP LIVE NDANI YA STARTIMES

s

DAR ES SALAAM Katika kipindi ambacho ligi zimefikia zimefikia tamati, katika king’amuzi cha StarTimes burudani bado inaendelea. Sasa ni michuano ya SportPesa Super Cup ambayo inafanyika nchini Kenya na kushirkisha jumla ya timu nane kutoka Tanzania na Kenya. Tanzania inawakilishwa na timu nne ambazo ni mabingwa wa ligi kuu Tanzania …

Read More »

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. MPANGO,AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA MWAKA 2018/19

1

DODOMA                                 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa Hoja kwamba, Bunge lako sasa lipokee na kujadili mapitio ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya …

Read More »

TCCIA YAANZA KUSHEREKEA MIAKA 30 YA KUANZISHWA KWAKE

1b8b23e7-b743-4b13-96ae-b5b09907ece7

Raisi wa TCCIA Bwana John Mayanja, akizungumza na wajumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ambao ni wanachama wa TCCIA. Chama cha wenye Biashara, Viwanda na Wakulima ‘TCCIA’  jana kimezindua rasmi safari ya kusherekea mafanikio makubwa waliyoyapata katika miaka 30 tangu kuanzishwa kwake. Wanachama pamoja na viongozi wa TCCIA jana walikutana kwenye …

Read More »