Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / June / 05

Daily Archives: June 5, 2018

WALINZI WA WANYAMAPORI WATAKIWA KUWA MAKINI NA WAADILLIFU

2

  Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori nchini (TAWA), Meja Jenerali  mstaafu Hamisi Semfuko (wa pili kushoto mwenye miwani), akizungumza na walinzi wa wanyamapori katika maeneo yanayozunguka Pori ya Akiba la Maswa mkoani Simiyu alipokua akikagua shughuli za uhifadhi na ulinzi katika maeneo hayo juzi. Xxxxxxxxxxxx …

Read More »

RC MAKONDA KUWASHIKISHA ADABU WACHAFUZI WA MAZINGIRA.

KON1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza kuanza kwa oparesheni kabambe ya kuwakamata na kuwatoza faini wachafuzi wa Mazingira kuanzia July Mosi kwa lengo la kuhakikisha jiji linakuwa kwenye Hali ya usafi kama majiji mengine ulimwenguni. RC Makonda amesema ameandaa vijana zaidi ya 4,000 kutoka …

Read More »

WAZIRI MKUU AMPONGEZA STEVEN MASELE

PMO_4427

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kijitoupele Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri …

Read More »

KIGWANGALLA AAGIZA MSAKO MKALI KWA WALIOUA SIMBA TISA SERENGETI

dead lions

 Baadhi ya simba kati ya tisa waliouwawa kikatili kwa kulishwa sumu, kukatwa na kuchomolewa baadhi ya viungo vyao na wananchi katika kijiji cha Nyichoka, wilaya ya Serengeti mkoani Mara.   Na Hamza Temba-Dodoma …………………………………………………… WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza Kikosi Kazi Dhidi ya Ujangili cha Taifa …

Read More »

SHERIA NDIO TATIZO UTUNZAJI WA MAZINGIRA

1549511_Articolo

Na Ahmed Mahmoud Sheria mbali mbali zimekuwa zikitungwa kuhusiana na utunzaji wa mazingira lakini bado kumekuwa na ombwe la uharibifu na ukataji mkubwa wa misitu hapa nchini na kupelekea mabadiliko ya tabianchi je tatizo lipo wapi ni kwenye ufutaliaji wa sheria au elimu kwa wanchi haijawafikia. Utaona pindi yanapotokea majanga …

Read More »

MTENDAJI MKUU TEMESA AFUNGUA MAFUNZO YA VIONGOZI TEMESA

PIC 1

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu katikati akisisitiza jambo wakati alipokua akizungumza na uongozi wa wakala huo (hawapo pichani) wakati akifungua mafunzo ya Uongozi yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute) katika ukumbi wa mikutano Bohari Kuu ya Dawa(MSD) Keko jijini Dar es Salaam. …

Read More »

Matumizi ya TEHAMA Kuboresha Huduma za Afya Katika Halmashauri

5

Mkuu wa Timu ya Mifumo ya Rasilimali Watu Dkt. Josephine Kimaro akisisitiza  umuhimu wa matumizi ya mfumo unaotoa taarifa kuhusu uhitaji wa watumishi katika kituo cha kutolea huduma (WISIN) na Mfumo unaogawa watumishi kulingana na vipaumbele (POA) leo Jijini Mbeya, ambapo mafunzo hayo yatawashirikisha watumishi wa sekta hiyo wa mikoa …

Read More »

Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma(Epicor 10.2) kuboresha usimamizi wa mapato na matumizi kwenye Halmashauri nchini.

Pix 1 Mkurugenzi miundombinu ya Tehama

Mkurugenzi Msaidizi Miundombinu ya TEHAMA-TAMISEMI Bw.Baltazar Kibola akifuatilia jambo wakati wa  Mafunzo ya usimamizi wa fedha za umma kwa watumishi  wa mikoa na mamlaka za Serikali za mitaa yaliyofanyika leo Mkoani Iringa. Muhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi.Catherine Kiyuo akimwelekeza jambo mshiriki wa mafunzo ya usimamizi wa fedha za umma …

Read More »

Umeme wa Gridi kuokoa bilioni 30 kwa mwaka Njombe, Ruvuma

PICHA NA 2

Kazi ya ujenzi wa kituo cha kupoza umeme cha Songea kilichopo mkoani Ruvuma ikiendelea. Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kulia) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika kituo cha kupoza umeme cha Songea kilichopo mkoani Ruvuma. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Songea, Pololet Mgema …

Read More »

JAFO APIGA MARUFUKU MAMLUKI KUSHIRIKI UMISSETA NA UMITASHUMTA

IMG-20180604-WA0155

Na Mathew Kwembe  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo amewataka Wakuu wa Mikoa kuhakikisha kuwa mikoa yao inapeleka wachezaji wanafunzi watakaoshiriki mashindano ya UMISSETA iliyoanza leo katika viwanja vya chuo cha Ualimu Butimba kilichopo jijini Mwanza. Aidha amewataka waamuzi watakaochezesha mashindano …

Read More »