Friday , March 22 2019

Home / 2018 / June / 06

Daily Archives: June 6, 2018

YANGA WAANIKA AJENDA ZA MKUTANO MKUU, YA UCHAGUZI YAWEKWA KANDO

maxresdefault

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamii KUELEKEA Mkutano mkuu wa Yanga Juni 10 mwaka huu, uongozi umeweka wazi ajenda kuu zitakazojadiliwa huku ajenda ya uchaguzi ikiwa imewekwa kando kwanza. Maandalizi ya mkutano huo kwa wanachama wa Klabu ya Yanga yameshika kasi sasa zikiwa zimesalia siku nne kuelekea mkutano huo muhimu …

Read More »

KISA KARUME BOYS KUTIMULIWA NA CECAFA ,RAIS WA ZFA ABWAGA MANYANGA

iDAROUS

Ravia Idarous (kulia) amejiuzulu Urais wa ZFA akiwafuata Makamu wake wa Unguja, Mzee Zam Ali na Mkurugenzi wa Ufundi, Abdulghan Msoma  …………… Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR RAIS wa Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) Ravia Idarous Faina ameandika barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake. Ravia sasa ataungana na Makamu wa Rais …

Read More »

Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kuleta Maboresha Makubwa kKatika Mfumo Mpya wa Usimamizi wa fedha za Umma

Pix 4 Mwasilisha MadaTamisemi

Na Daudi Manongi,MAELEZO,IRINGA. Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) umeelezwa kuleta  maboresha makubwa katika mfumo mpya wa usimamizi wa fedha za umma ikiwemo  kushushwa kwa mfumo hadi kwenye ngazi ya mtoa huduma. Hayo yameelezwa na Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha wakati akitoa …

Read More »

Profesa Mbarawa Akagua Maendeleo Ujenzi wa Tazara Fly Over

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kulia) wakikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya juu (Tazara Fly Over) leo jijini Dar es Salaam. Ujenzi huo kwa sasa umekamilika kwa asilimia 88. Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida …

Read More »

Halmashauri ya Kishapu Yaadhimisha Siku ya Mazingira kwa Mafanikio

1

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Mhe. Nyabaganga Taraba akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani kiwilaya yaliyofanyika katika Kijiji cha Lubaga. Viongozi mbalimbali wakiwa katika eneo lililopandwa miti la mdau wa mazingira, Paul Kanuda katika Kijiji cha Lubaga walipotembelea wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani. Wanakikundi cha …

Read More »

MATUKIOKATIKA PICHA MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

PMO_4971

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe (kushoto ) na Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma  Juni 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma  Juni 6, 2018. Waziri …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA MAFUNZO YA MFUMO WA UHASIBU NA UANDAAJI WA TAARIFA EPICOL 10.2 YANAYOENDELEA NCHI NZIMA LEO YAKIWA KATIKA SIKU YA TATU MKOANI MWANZA

3

  Ndugu Melkizedeki Kimaro, Mhasibu Mwezeshaji OR TAMISEMI akiwasilisha mada kuhusu mchakato wa Imprest kwakutumia mfumo wa Uhasibu na utoaji wa taarifa wa (Epicol) kwenye ukumbi wa Victoria Palace Jijini Mwanza. Stanslaus Msenga Mmoja ya Wawezeshaji wa mafunzo ya mfumo wa Uhasibu na utoaji wa taarifa (Epicol 10.2) kutoka OR …

Read More »

DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA

DSC_0921

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi wa  Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika …

Read More »

WAZIRI MKUU AWASISITIZA WABUNGE WADUMISHE MSHIKAMANO

PMO_4777

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Malindi Zanzibar, Ally Abdullah Saleh, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 5, 2018. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, wakati wa futari aliyowaandalia wabunge, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 5. 2018, kushoto …

Read More »