Friday , March 22 2019

Home / 2018 / June / 07

Daily Archives: June 7, 2018

WAZIRI KALEMANI AFANYA ZIARA CHATO

PICHA NA 4

Sehemu ya wakazi wa Kata ya Nyamirembe iliyopo wilayani Chato mkoani Geita wakifuatilia hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara. Kutoka kushoto, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Raymond Seya, Mkurugenzi Ufundi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini …

Read More »

MKUTANO WA MWAKA WA KUPITIA,KUJADILI NA KUPANGA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE YAFIKIA TAMATI LEO

????????????????????????????????????

Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akiongea na wadau mbalimbali wa sekta ya afya hawapo pichani kuhusu tiba kinga za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wakati wa kufunga mkutano wa mwaka wa kupitia,kujadili na kupanga utekelezaji wa mpango wa Taifa wa …

Read More »

EPICOL 10.2 NI SULUHISHO NA AHUENI KWETU-WAWEKA HAZINA

IMG_6952

Ndugu Emmanuel Richard Mhasibu wa wa Halmashauri ya Bariadi, akifanya mahojiano na Atley Kuni Afisa habari OR TAMISEMI jijini Mwanza wakati wa Mafunzo ya Epicor 10.2 (Picha na Gladys Mkuchu-PS3) Zubeda Nkuba Mhasibu wa  Matumizi kutoka Manispaa ya Jiji, akielezea faida za mfumo wa Epicor 10.2 na maboresho muhimu yaliyofanyika …

Read More »

WAHARIRI WAOMBWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI

angela

NA MWANDASHI WETU WAHARIRI wa vyombo vya habari nchini wameombwa kushirikiana na serikali katika kila jambo linalohusu sekta ya afya ili kuhakikisha jamii inapata ujumbe sahihi kuhusu sekta hiyo. Ombi hilo limetolewa na Meneja wa Mapango wa Taifa Kudhibiti Ukimwi (NACP), Dk. Angela Ramadhani, wakati akifunga mafunzo ya siku moja …

Read More »

WAZIRI MBARAWA AWATAKA TPA KUSIMAMIA MRADI SAA 24

3

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) (mwenye koti la mistari), kuhusu usimamizi wa mradi wa maboresho ya bandari ya Dar es Salaam gati namba 1 hadi 7, wakati Waziri huyo alipokagua maendeleo ya mradi …

Read More »

WAZIRI MKUU AZIONYA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI

Majaliwa

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka asasi zisizokuwa za Serikali (NGOs) zitekeleze majukumu yake kama ambavyo zimesajiliwa na ziache kufanya shughuli zilizo nje ya makubaliano.   Amesema Serikali itaendelea kuzichukulia hatua NGOs zote zinazokiuka taratibu kwa kufanya majukumu mengine kinyume na malengo yake. Ametoa onyo hilo leo (Alhamisi, Juni 7, 2018) …

Read More »

WAZIRI MKUU: SUALA LA MISHAHARA LINAFANYIWA KAZI

PMO_5116

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema suala la nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma liko Serikalini na linaendelea kushughulikiwa.   Ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Juni 7, 2018) Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Bi. Susan Lyimo kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA MBALIMBALI WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

PMO_5085

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Rombo Joseph Selasini, Bungeni jijini Dodoma, Juni 7, 2018. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri TAMISEMI, Josephat Kandege, Bungeni jijini Dodoma Juni 7. 2018, katikati ni Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia, …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

1

AJALI YA GARI KUMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU NA KUSABABISHA KIFO NA MAJERUHI, KISHA WANANCHI WENYE TABIA ZA UHALIFU KWA KISINGIZIO CHA HASIRA KALI WALILICHOMA GARI HILO MOTO NA KULITEKETEZA LOTE WILAYANI ILEMELA. KWAMBA TAREHE 07.06.2018 MAJIRA YA SAA 07:40HRS ASUBUHI KATIKA BARABARA YA MWANZA KWENDA IGOMBE ENEO LA KAYENZE NDOGO …

Read More »

DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA

DSC_1016

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemedi Suleiman (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mhe.Rashid hadid Rashid mara baada ya Swala ya Magharibi jana kabla ya Futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu …

Read More »

ZIMAMOTO NCHINI YAPATA TUZO YA UTENDAJI BORA

PIX 1

Mkurugenzi wa Idara ya Jinsia, Wazee na Watoto wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA), Mohamed Shabani (wapili kulia) akimkabidhi Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye tuzo ya cheti cha heshima, kwa mchango wao katika kupambana na majanga ya moto na uokoaji. Hafla hiyo imefanyika …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOENDELEZWA VIWANJA VILIVYOTOLEWA KATIKA MAENEO YA MRADI WA VIWANJA 20,000 JIJINI DAR ES SALAAM

MMG_2917

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kipindi cha 2002 – 2008 iliratibu Mradi wa Viwanja 20,000 kwa kushirikiana na Halmashauri zilizopo katika Mkoa wa Dar es Salaam. Mradi huu ulizalisha viwanja takribani 40,000 ambavyo vilimilikishwa kwa wananchi, taasisi na makampuni mbalimbali. Tangu kumilikishwa kwa viwanja hivyo, maeneo …

Read More »

RUSHWA YASABABISHA MWAMUZI WA KENYA KUTIMULIWA FIFA WORLD CUP 2018

index

Mwamuzi Aden Marwa ametimuliwa na Fifa kutoka katika list ya waamuzi watakaochezesha michuano ya Kombe la Dunia 2018 nchini Russia kutokana na kubambwa akipokea rushwa ya $600 (Tshs 1.3m). Mwamuz huyo alirecodiwa video na mwandishi wa Habari ambaye alijifanya ni ofisa wa Chama cha soka cha Ghana, alibambwa akisema “nashukuru …

Read More »