Friday , March 22 2019

Home / 2018 / June / 08

Daily Archives: June 8, 2018

TFF YATHIBITISHA KUPOKEA BARUA YA YANGA KUJITOA KAGAME

TFF-CLIFORD

  Na George Mganga Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limethibitisha kupokea barua ya Yanga yenye ombi la kujiondoa kwenye mashindano ya Kagame Cup yanayotarajia kuanza Juni 29 mpaka Julai 13 2018. Kwa mujibu wa Ofisa wa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo, amesema wamepokea barua hiyo inayoeleza kuwa Yanga ina nia …

Read More »

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAVISHWA VYEO MAOFISA WAANDAMIZI TISAWA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR

PIX 1

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kulia) akimvalisha cheo akimvalisha cheo Naibu Kamishna wa Magereza, Tusekile Mwaisabila kuwa Kamishina wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni  8, 2018. Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kulia) akimvalisha cheo …

Read More »

WAZIRI MKUU ATAKA WANAOTOA TAARIFA ZA UONGO WADHIBITIWE

PMO_6068

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye wakati alipotembelea Kituo cha  Zimamoto za  na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala eneo la Fire jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na askari wa Jeshi la Zimamoto na …

Read More »

ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA

zantel

Zantel inapenda kuwataarifu wateja wake, wadau na jamii kwa ujumla kuwa imesimamisha mauzo ya laini zake za simu kwa mawakala wake wakuu kuanzia sasa. Maamuzi haya magumu yamechukuliwa kutokana na tuhuma za kuwepo kwa matumizi kuanzia wa Zantel. Zantel imedhamiria kuzingatia na kusimamia sheria zote na kanuni zote pamoja na …

Read More »

WEDAC YAWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE

IMG-20180603-WA0092

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Ummy Mwalimu (wanne kushoto mstari wa nyuma) akiwa na viongozi wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara na wanawake wajasiriamali waliowezeshwa mikopo na asasi ya WEDAC.  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Ummy Mwalimu akizungumza kwenye maadhimisho …

Read More »

MAAFISA UUGUZI KUTOKA CHUO KIKUU CHA NEW YORK CHA NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA

picha no. 1

Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Shirikishi  ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delila Kimambo akimkabidhi zawadi ya kinyago Afisa Muuguzi wa Chuo Kikuu cha New York cha nchini Marekani Linda Herrmann wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika leo katika …

Read More »

YANGA YAJITOA MASHINDANO YA KAGAME CUP

YANGA YANGA

Uongozi wa klabu ya Yanga umeandika barua kwenda TFF kuiomba kujitoa katika mashindano ya Kagame Cup yanayotarajiwa kuanza Juni 29 mpaka Julai 13, 2018 jijini Dar es Salaam Sababu za msingi za kujitoa Kagame Cup ni kufanya maandalizi kwa ajili ya michunao ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo watacheza na …

Read More »

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA

V25A3133

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. …

Read More »

MCHEZAJI BORA WA VPL KUJULIKANA JUNI 23 MWAKA HUU

LOGO

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msimu wa mwaka 2017/2018, ambayo sherehe zake zimepangwa kufanyika Juni 23 mwaka huu. Wachezaji hao 15 ni miongoni mwa 30 waliotangazwa awali wiki mbili zilizopita …

Read More »

Tanzania Kuendelea Kuimarisha Biashara Na Malawi

Pix 01

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla, kulia akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kongamano la biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Malawi litakalofanyika Julai 26 na 27 jijini Mbeya, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) John Mnali. Mkuu wa Mkoa …

Read More »

DK.Shein Akitokea Pemba Kufutarisha Wananchi

DSC_1534

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Sheikh Mohamed Suleiman pamoja na Mtoto wake  baada ya Futari aliyoiandaa juzi kwa  ajili ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Ikulu ya Chakechake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa …

Read More »