Friday , March 22 2019

Home / 2018 / June / 09

Daily Archives: June 9, 2018

“LPO” Za Makaratasi Sasa Basi

1

  Ng’wananyamate Mgengeli  Mtaalam Mshauri  kutoka mradi wa PS3, akichangia mada wakati wa mafunzo ya maofisa Manunuzi kuhusu mfumo wa Epicor 10.2 yaliyofanyika katika ukumbi wa Victoria Palace jijini Mwanza Baadhi ya Maafisa Manunuzi wakimsikiliza kwa makini, mwezeshaji Stanslaus Msenga hayupo pichani wakati wa mafunzo jijini Mwanza Stanslaus Msenga, Mhasibu …

Read More »

MAJALIWA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA- MWANZA

PMO_9596

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary  (wasita kushoto) wakitazama mechi ya  mpira wa Kikapu  kwa wanawake baada ya kufungua mashindano ya 39 ya UMISSETA na UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye Uwanja wa CCM  Kirumba jijini Mwanza Juni 9, 2018.  Kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza na watano kushoto ni …

Read More »

WATAKAOCHEZESHA MAMLUKI UMISSETA KUKIONA-MAJALIWA

PMO_9499

 ……………… WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu wahakikishe wanafunzi wanaoshiriki mashindano hayo ni wale waliovuka katika ngazi ya shule, kata, wilaya na mkoa, ambao wote ni wanafunzi halali wa shule na marufuku kuchezesha mamluki.  “Endapo itabainika yupo mchezaji aliyeletwa kushiriki michezo hii ambaye si mwanafunzi (yaani mamluki) naagiza hatua …

Read More »

MTANZANIA ATAMBA MPIRA WA MEZA NCHINI KENYA

IMG-20180609-WA0016

Sara Alidina akipambana mjini Mombasa …………… Na Mwandishi wetu Mchezaji wa mpira meza wa Tanzania, Sara Alidina ameingia hatua ya mashindano ya mikoa ya Kenya iliyopangwa kuanza wiki ijayo baada ya kushinda medali ya fedha katika hatua ya awali. Sara  aambaye anasomo katika shule ya  Aga Khan Academy Mombasa, amejumuishwa …

Read More »

Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Maafisa Ugavi yafungwa Mkoani Iringa

Pix 1 Bw.Shaha

Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha akifuatilia mafunzo kwa vitendo kwa kutumia Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Maafisa Ugavi  wa halmashauri na Manispaa kutoka Mikoa ya Iringa,Morogoro,Tanga na Kilimajaro leo Mkoani Iringa. Afisa Ugavi kutoka Halmshauri ya Rombo Bw.Tofiki Athumani akifanya …

Read More »

SAMATA AIPONGEZA KAMPUNI YA MAZIWA YA ASAS

MCM_8448

Na Mwandishi wetu Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta anayecheza soka lake nchini  Ubeligiji katika klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta ameipongeza kampuni ya kuuza maziwa ya Asas Dairies kwa kujitokeza kudhamini kampeni yake ya “Nifuate”. Kampeni hiyo ilikutanisha timu mbili, timu Samatta …

Read More »

WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE WAPEWA MAFUNZO

PIC 2B

Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Anne Makinda (wapili kulia) akizungumza na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati),  Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) na Katibu wa Bunge Mstaafu na Mbunge Mstaafu Ndg. George Mlawa (wakwanza kulia) kabla ya kuanza kwa mafunzo ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge katika …

Read More »

JAFO APONGEZA UJENZI WA KITUO CHA AFYA WANGING’OMBE

IMG-20180609-WA0024

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo akisalimiana na wanakijiji wa kijiji cha Palangawanu mkoani Njombe. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo akikagua wa Kituo cha Afya Palangawanu.     Waziri wa Nchi, …

Read More »

DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI WA KIBELE

DSC_1581

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Wanafamili wakati alipokuwa akielekea msikitini Nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja kabla ya  futari aliyoiandaa kwa Wananchi aliowaalika jana pamoja na familia yake, Baadhi ya Viongozi na wananchi mbali mbali wakiwa …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA VYAMA VYA UPINZANI LEO

DSC_4887

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Vyama vya Upinzani katika mkutano wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar(wa nne kushoto) Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Magalie John P.Shibuda …

Read More »

VIDEO:GOLDEN WARRIORS YATWAA UBINGWA NBA NCHINI MAREKANI

NBA-1-2

Golden State Warriors wakiwa na ubingwa wao baada ya kuwafunga mechi mfululizo 4-0 Cleveland Cavaliers  TIMU ya Golden State Warriors imetwaa ubingwa wa ligi ya mpira wa kikapu Marekani (NBA) baada ya kuendeleza ubabe dhidi ya wapinzani wao Cleveland Cavaliers kwa kuwashinda mechi mfululizo 4-0 baada ya kutoka na ushindi …

Read More »

KIGWANGALLA AFUTURISHA WABUNGE DODOMA, ASISITIZA UPENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA

IMG-20180608-WA0039

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.  Hamisi Kigwangalla (kushoto) akimkaribisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai nyumbani kwake kwa ajili ya kujumuika na wabunge wengine kwenye hafla ya futari aliyoiandaa kwa ajili yao nyumbani kwake Jijini Dodoma. …………………………………………………. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi …

Read More »