Monday , February 18 2019

Home / 2018 / June / 10

Daily Archives: June 10, 2018

JAFO AMUAGIZA MKANDARASI KUBOMOA SAKAFU ILIYOJENGWA CHINI YA KIWANGO

jf+1

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo  akifanya ukaguzi wa vyumba vya madarasa katika sekondari kongwe ya Malangali ambapo ameagiza sakafu kufumuliwa kutokana na kutokuwa na ubora.  Viongozi wakifanya Ukaguzi wa miundombinu inayojengwa katika kituo cha afya  Malangali  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala …

Read More »

LUKUVI AOKOA MABILIONI MPAKA WA TANZANIA NA KENYA

119A1409

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akikagua alama za mpaka wa Tanzania na Kenya. ………………… Na. Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameokoa takriban shilingi bilioni 16 za upimaji wa mpaka kati ya Tanzania na …

Read More »

DTB BENKI YAFUTURISHA WATEJA WAO MKOANI TANGA

dtb

  MKUU wa Mkoa wa Tanga ,Martine Shigella akizungumza wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya DTB kwa waislama mkoani Tanga iliyofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach Resort.   Shehe wa mkoa wa Tanga Juma Luwuchu akizungumza katika Futari hiyo   Meneja wa Benki ya DTB Mkoa wa Tanga Athumani …

Read More »

WATANZANIA TUSIKUBALI KUCHONGANISHWA-MAJALIWA

PMO_9713

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kuchonganishwa na kwamba Serikali haiongozwi kwa misingi ya kidini bali imeziachia taasisi za kidini zifanye kazi kwa kuzingatia Katiba , Sheria za nchi na malengo yaliyokusudiwa katika uanzishwaji wake.   Aliyasema hayo jana jioni (Jumamosi, Juni 9, 2018) alipozungumza na viongozi na …

Read More »

KIKOSI CHA SINGIDA UNITED DHIDI YA KAKAMEGA HOME BOYZ KUTAFUTA MSHINDI WA TATU SPORTPESA SUPER CUP 2018 NCHINI KENYA

34985184_234282914015467_456108475815034880_n

Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kombe la Sportpesa Super Cup muda saa 7:00 Mchana. 1-Peter Manyika Jr 2-Miraji Adam 3-Salum Chuku 4-Malik Antiri 5-Kennedy Juma 6-Diaby Amara 7-Deus Kaseke 8-Nizar Khalifan 9-Danny Lyanga 10-Kenny Ally 11-Tibar George SUB -Ally Mustapha Bathez -Shafik Batambuze -Elisha Muroiwa -Salum Kipaga -Alinywesia Sumbi …

Read More »

MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA

PMO_9743

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Mary Tesha wakati alipowasili kwenye viwanja vya Benki Kuu jijini Mwanza kushiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Juni 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza …

Read More »

Maofisa mazingira wa jiji la Mbeya watembelea kiwanda cha TBL Mbeya

????????????????????????????????????

Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani,Maofisa Mazingira na Afya kutoka ofisi ya jiji la Mbeya, walitembelea kiwanda bora cha kutengeneza bia barani Afrika cha TBL Mbeya na kujionea jinsi kinavyotekeleza  kanuni za utunzaji wa mazingira kitaalamu. Meneja Mazingira  wa kiwanda hicho, Anitha Gerald,aliwaeleza maofisa hao jitihada mbalimbali zinazofanywa na kampuni …

Read More »

MAWAZIRI WA NISHATI TANZANIA, RWANDA WATEMBELEA KITUO CHA RUSUMO

PICHA NA 1

Mratibu wa Kanda wa Kitengo cha Uratibu cha Bonde la Mto Nile (NELSAP-CU), Mhandisi Ellicad Nyabeeya (kulia) akiwaongoza kutoka kushoto mbele Waziri wa Nishati Nchini Tanzania, Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa Miundombinu Nchini Rwanda, Balozi Claver Gatete na Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Nishati Nchini Rwanda, Kamayirese Germaine kwenye …

Read More »

WAZIRI WA KILIMO AAGIZA KURUDIWA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA USHIRIKA KILA MAHALI PENYE DOSARI WILAYANI IKUNGI

DSC_0635

div class=”separator” style=”clear: both; text-align: center;”> Waziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akizungumza jambo kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mkunguakihendo kilichopo katika kata ya Kikio, Wilaya ya Ikungi wakati wa ziara ya kukagua vituo vya ununuzi na ukusanyaji wa pamba Mkoani Singida, Jana 8 juni 2018. Picha Zote Na Mathias Canal-WK …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCI MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

DSC_1790

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa alipowasili katika  futari aliyoiandaa kwa Wananchi  wa Mkoa wa Kusini leo huko katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati,(katikati) Mkuu wa Mkoa …

Read More »