Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / June / 11

Daily Archives: June 11, 2018

WATANZANIA ASILIMIA 90 WANATUMIA MKAA

mkaa matumizi

Na Mahmoud Ahmad,Dodoma. ZAIDI  ya asilimia 90  ya watanzania  wanaokana kuishi kwa kutegemea nishati ya mkaa na kuni   kama chanzo kikuu cha kupikia . Hata hivyo  nishati hiyo  inategemewa zaidi na wananchi  wenye kipato cha chini katika maeneo ya vijijini na mijini suala ambalo linapelekea ukataji wa miti kwa ajili …

Read More »

PWANI ,DAR NA RUVUMA WAFUNZWA MATUMIZI YA MIFUMO YA EPICOR

EPICOR 10 MTWARA (1)

Msimamizi wa Fedha Tamisemi Bi Ummy Wayayu(kushoto) akijadili jambo mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya siku nne ya  Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yanayoendelea yaliyoanza mkoani mtwara na kushirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Pwani,Mtwara, kinondoni manispaa na Ruvuma…Katikati ni …

Read More »

WANAMISUNGWI TUMIENI VIZURI FEDHA ZA PAMBA-DC

PMO_9921

  Mkuu wa wilaya ya Misungwi, Juma Sweda akizungumzia masuala ya zao la Pamba pamba  wilayani Misungwi ununuzi unaendelea vizuri. Mkuu wa wilaya ya Misungwi, Juma Sweda (kushoto) akikagua shamba la pamba la Bw. Swalala Nteminyanda (kulia) katika kijiji cha Nyanh’onge wilayani humo  Juni 11, 2018. Ununuzi wa pamba  kwa …

Read More »

GAIRO WAMKWAZA JAFO

ja+1

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akipokea taarifa ya ukarabati wa kituo cha afya Gairo.   Ukaguzi wa majengo yanayo jengwa kituo cha Afya Gairo ukifanywa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo  …

Read More »

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

PMO_9610

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku (Msukuma) Bungeni jijini Dodoma  Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri wa Habari, Sanaa , Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe, akizungumza Bungeni jijini Dodoma  Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Spika wa Bunge la Tanzania, Job …

Read More »

WANAMISUNGWI TUMIENI VIZURI FEDHA ZA PAMBA-DC

PMO_0060

Mkulima wa pamba katika kijiji cha  Mondo wilayani Misungwi, Hoja Ngole akitumia mkokoteni wa kokotwa na ng’ombe kupeleka pamba yake kuuza kwenye  Chama cha Ushirika  wa Mwaniko katika kijiji cha Mondo Juni 11, 2018. Uuzaji wa pamba wilayani Misungwi unaendelea vizuri na kilo moja inauzwa kwa sh. 1100/=. (Picha na ofisi ya Waziri …

Read More »

Mifumo ya WISN na POA kuraisisha kutambua uzito na wingi wa kazi katika vituo vya huduma.

Pix 1 Muwezeshaji

Muwezeshaji kutoka Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bw.Mfaume Hemedi akieleza faida za mfumo unaotumika kubaini mahitaji ya watumishi katika vituo vya kutolea huduma za afya(WISN) na ule unaotumika kupanga mgawanyo wa watumishi hao kulingana na uhitaji wa kila kituo (POA) kwa Waganga wakuu wa Halmashauri,Maafisa utumishi,Makatibu wa Afya …

Read More »

POLISI PWANI YAKAMATA SILAHA TISA NA PEMBE YA PONGO

IMG-20180611-WA0079

Kamanda wa polisi mkoani Pwani ACP Jonathan Shanna akionyesha gari lililokuwa limeibwa na kubadilishwa namba za usajili (bandia).(picha na Mwamvua Mwinyi) Kamanda wa polisi mkoani Pwani ACP Jonathan Shanna akionyesha pembe ya mnyama ajulikanae kama pongo na silaha mbalimbali ambazo zimekamatwa katika misako inayoendelea.(picha na Mwamvua Mwinyi) …………………………………………………………………………………………………….. Na Mwamvua …

Read More »

KOMBE LA DUNIA 2018 DStv NI MOTOO

3 days left WC

Huku kwetu mambo ni Motoooo! Zikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea katika mashindano ya FIFA Kombe La Dunia 2018 nchini Urussi. DStv watakuwezesha wewe mteja wao kufurahia mechi zote 64 za michuano ya FIFA Kombe la Dunia 2018 LIVE zikiwa kwenye picha ang’avu HD kupitia chaneli zake mpaka 6 maalum …

Read More »

Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma Toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka Hazina Yafunguiwa Mkoani Iringa

Pix 2 Mentor kutoka Ps3

Afisa usimamizi wa fedha kutoka TAMISEMI Bw.Elisa Rwamiago akifungua mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.Kulia kwake ni Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa …

Read More »

MWAKYEMBE AIPA MAMLAKA BMT KUSIMAMIA MCHEZO WA KUOGELEA

Pix 01

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa pamoja baina ya serikali na viongozi wa zamani wa Chama Cha Kuogelea Nchini (TSA) na kuamuru BMT kusimamia shughuli za mchezo huo wakati mchakato wa kuandaa uchaguzi mkuu ukiandaliwa. Kulia ni Katibu Mkuu …

Read More »

MKUU WA MAJESHI ATOA WITO KWA WAZAZI KUWEKEZA KWENYE ELIMU

PICHA 1

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ilumya wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa, iliyofanyika Kijiji Cha Masanza kona Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, mhe. Anthony Mtaka akionesha sehemu ya fedha alizochangia katika harambee …

Read More »