Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / June / 12

Daily Archives: June 12, 2018

WASHINDI WA TUZO ZA MO SIMBA MSIMU WA 2018

IVS8434

Tuzo za MO Simba zilizotolewa jana usiku katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. GOLIKIPA BORA WA MWAKA Aishi Manula – WINNER SaidMohamed ‘Nduda’ Emmanuel Elias Mseja BEKI BORA WA MWAKA Yusuph Mlipili Erasto Nyoni – WINNER Shomari Kapombe Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz (kushoto) akimpatia …

Read More »

MADRID YAMTANGAZA LOPETEGUI KUWA KOCHA MPYA

julen-lopetegui

KIPA wa zamani wa kimataifa wa Hispania, Julen Lopetegui ametambulishwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid wiki kadhaa baada ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kufundisha timu ya taifa Lopetegui amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kufundisha Hispania hadi Mei 22 mwaka 2020, lakini Real Madrid wamemnyakua na amekubali kujikunga na vigogo hao …

Read More »

Polisi Maji Yakamata Waharifu Sugu 16

3

Kamanda wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP), Venance Mwijage. Kamanda wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP), Venance Mwijage, akiwaonesha waandishi wa habari Dar es Salaam jana, majahazi yaliyokamatwa kwenye oparesheni maalumu ya kupambana na uhalifu majini. (PICHA ZOTE NA DOTTO MWAIBALE) Kamanda …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

PMO_0263

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma  Juni 12, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika, Stephen Masele ambaye ni Mbunge wa Shinyanga Mjini, Bungeni jijini Dodoma  Juni 12, 2018. ( Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba, akizungumza Bungeni jijini Dodoma  Juni …

Read More »

Wahasibu Na Waweka Hazina Waendelea kupigwa Msasa Juu Ya Mfumo wa Usimamizi wa Fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) Mkoani Iringa

Pix 1 Afisa Tamisemi

Afisa usimamizi wa fedha kutoka TAMISEMI Bw.Elisa Rwamiago akizungumzia changamoto mbalimbali na jinsi ya kuzikabili kuhusu  Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa. Mweka hazina wa Halmashauri ya Kilolo Bw.Ako …

Read More »

FURAHA YANGU CAMPAIGN

1

Kaimu Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Angela Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza mkakati wa uzinduzi wa  kitaifa wa kampeni ya FURAHA YANGU unao hamasisha watu tupima na kutibu ugonjwa wa ukimwi ijulikanayo kama Test and Treat …

Read More »

MWONGOZO WA UKUAJI BORA WA MIJI WAZIDI KUNOLEWA

KIDA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) Dkt. Tausi Kida akitoa neno la ukaribisho wakati wa mkutano wa mabaara kuhusu mabadiliko ya Tanzania kuelekea kwenye miji yaliyopangwa uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF jijini Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa mkutano huo, Dkt. Lorah Madete akitoa …

Read More »

TAMISEMI, PS3 Wapongezwa kwa Mifumo

A

Mtaalam mwezeshaji Emelda Malima kutoka OR TAMISEMI, akitoa msaada wa kitaalam kwa washiriki wa mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 mkoani Mwanza (Picha zote na Atley Kuni OR-TAMISEMI) Washiriki wa mafunzo ya Epicor 10.2 wakiwa katika mafunzo mkoani Mwanza Yanayo endeshwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Kushirikiana na Mradi …

Read More »

Maonesho Ya Utumishi Wa Umma Kuanza Juni 18 Muhimbili

003

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Wateja katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Aminiel Aligaesha akiwaonesha waandishi wa habari idara mbalimbali zitakazoshiriki kwenye maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2018. Maonesho hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 18 hadi 20 Juni, mwaka huu kwenye viwanja …

Read More »

Mamlaka za Serikali za Mitaa Zanufaika na Mifumo ya TEHAMA

????????????????????????????????????

Msimamizi wa Fedha Tamisemi Bi Ummy Wayayu(kushoto) akijadili jambo mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya siku nne ya  Mfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) yanayoendelea yaliyoanza mkoani mtwara na kushirikisha wahasibu,waweka hazina na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ya Pwani,Mtwara, kinondoni manispaa na Ruvuma…Katikati ni …

Read More »

AZAM FC YANASA SAINI YA NCHIMBI

271A6903

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji Ditram Nchimbi, akitokea Njombe Mji. Nchimbi ni mmoja ya washambuliaji wachache kwenye ligi ambao wanatambulika kwa uwezo wa kupambana na mabeki kwa mipira ya juu na chini, akitarajiwa kuongeza kitu katika eneo la …

Read More »