Thursday , January 17 2019

Home / 2018 / June / 13

Daily Archives: June 13, 2018

WAZIRI UMMY AZIAGIZA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUWEKA KAMBI ZA UCHANGIAJI DAMU MARA TATU KWA MWAKA

IMG_9691

Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati akitoa tamko la siku ya wachangiaji damu Duniani inayofanyika kila mwaka tarehe 14 Juni,ambapo mwaka huu itafanyika JIjini Dodoma .Meneja Mpango wa Damu Salama SDkt.Magdalena Lyimo(wa pili kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu shughuli nzima …

Read More »

BIL 2.8 ZATUMIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA TARURA

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(aliyesimama) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi magari 26 ya Wakala wa barabara za mjini na vijijini(TARURA),kushoto kwake ni Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seif. Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seif akitoa taarifa …

Read More »

AZAM FC YAIPA PIGO LA TATU SINGIDA UNITED

Screenshot_20180613-150154

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imefanikiwa kumrejesha kiungo wake, Mudathir Yahya kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kutoka Singida United. Mudathir, kiungo Mzanzibar hodari leo amesaini mkataba huo mbele ya Makamu Mwenyekiti, Abdulkarim Amin ‘Popat’ na Meneja Philipo Alando. Mudathir alikwenda Singida United msimu …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO TAREHE 13 JUNI 2018

B0a

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo wakati wa kuchangia hoja ya iliyowasiliwashwa na Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa George Boniphace Simbachawene(hayupo pichani) kwa niaba ya wabunge wa Mkoa wa Dodoma wakati wa Mkutano wa 11 wa Bunge, kikao cha Hamsini leo tarehe 13 …

Read More »

Serikali Yatumia TEHAMA Kuokoa Mabilioni ya Shilingi

1

Mkurugenzi wa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Erick Kitali akisisitiza jambo kwa  washirki wa mafunzo ya matumizi ya mfumo wa Epicor 10.2 jijini yanayoendelea jijini Mbeya . Mkuu wa Timu ya mifumo ya TEHAMA kutoka  PS3 Bw. Desderi Wengaa akisisitiza jambo …

Read More »

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA KUPOKEA TAARIFA YA MAJUMUISHO KATI YA KAMATI YA BAJETI NA SERIKALI

V25A8494

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mawaziri, Wenyekiti wa kamati za kudumu za Bunge na Watendaji wakuu kutoka Serikalini (hawapo pichani) wakati wa kikao cha Kamati ya uongozi kilicholenga kupokea Taarifa ya majumuisho yaliyofanyika kati ya kamati ya Bajeti na Serikali, kilichofanyika leo tarehe 13 Juni, 2018 …

Read More »

JOHN AKHWARI VISITS UBA TANZANIA

1528811802949_IMG-20180611-WA0024

From Left Mr. Mathias Ninga, HR Business Partner East and Southern Africa UBA Group, next is Mr. Emeke Iweriebor, Executive Director East and Southern Africa UBA Group, next is the Renowned Olympian Mr.John Akhwari and Right is Mr.Usman Isiaka the Managing Director UBA Tanzania. Mr. John Akhwari stressing a point …

Read More »

KAMISHNA MKUU WA TRA AWASHUKURU WAFANYABIASHARA JIJINI DODOMA

PICHA 1.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere akitoa hotuba fupi kwa Wafanyabiashara wa Jijini Dodoma wakati wa hafla fupi ya Iftar aliyowaandalia wafanyabiashara hao ikiwa ni sehemu ya kuwathamini walipakodi nchini. Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (aliyevaa miwani) akiwekewa futari wakati …

Read More »

WANUNUZI WA PAMBA WAISHUKURU SERIKALI

PMO_0440

WANUNUZI wa zao la pamba wameishukuru Serikari kwa kuweka mfumo mzuri wa ununuzi wa zao hilo, ambalo kwa mwaka huu linauzwa kupitia katika minada inayosimamiwa na Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS).   Hata hivyo wanunuzi hao wameiomba Serikali kuziwezesha AMCOS kuwa na maghala makubwa na ya kisasa ya kuhifadhia …

Read More »