Thursday , February 21 2019

Home / MCHANGANYIKO / MATUKIO KATIKA PICHA MBALI MBALI YA SPIKA NDUGAI LEO TAREHE 13 JUNI 2018 BUNGENI JIJINI DODOMA

MATUKIO KATIKA PICHA MBALI MBALI YA SPIKA NDUGAI LEO TAREHE 13 JUNI 2018 BUNGENI JIJINI DODOMA

V25A8183

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mhe. Gaudensia Kabaka alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Mbunge wa  Kasulu Mjini, Mhe. Daniel Nsanzugwako

V25A8302

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)Taifa, Mhe. Gaudensia Kabaka (katikati) na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mhe. Thuwaybah kissasi walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

V25A8254

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mhe. Gaudensia Kabaka (katikati) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mhe. Thuwaybah kissasi

V25A8304

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Uongozi kutoka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa ulioongozwa na Mhe. Gaudensia Kabaka (Kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

V25A8321

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi kutoka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ulioongozwa na Mhe. Gaudensia Kabaka (wa tatu Kushoto)baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 13 Juni, 2018 Ofisini kwake Bunge Jijini Dodoma.

V25A8145

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Biharamulo na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Mhe. Oscar Mukasa (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA) Ndg. Deogratius Rutatwa walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

V25A8095

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA) Ndg. Deogratius Rutatwa (kulia) akizungumza wakati walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Mbunge wa Biharamulo na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Mhe. Oscar Mukasa

V25A8162

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Waendaji Wakuu kutoka Mtandao wa Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA), JHPIEGO na PASADA baada ya mazungumzo walipomtembelea leo Ofisini kwake  Bungeni Jijini Dodoma.

V25A8304

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa kigoma kaskazini, Mhe. Peter serukamba leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

V25A8432

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Buhigwe, Mhe. Albert Ntabaliba Obama leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Mufindi Kusini, Mhe. Mendard Kigolana Mbunge wa Busega, Mhe. Dkt. Raphael Chegeni (katikati)

V25A8444

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza na Wabunge leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About Alex

Check Also

3

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 30

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Hamisi Dikupatile akizungumza na wajumbe wa kikao cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eighteen − 13 =