Sunday , August 19 2018

Home / MCHANGANYIKO / NAIBU KATIBU MKUU UTUMISHI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

NAIBU KATIBU MKUU UTUMISHI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

pic. 1

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko (katikati) akiongea na watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (hawapo pichani) kuhusiana na masuala ya kiutumishi Serikalini. Kushoto ni Mkemia Mkuu wa Serikali,      Dkt. Fidelice Mafumiko na Mkurugenzi wa Idara ya Maadili kutoka Utumishi, Bw. Pokela (kulia).

pic.2

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (aliyesimama) akiongea kabla ya kumkaribisha kuongea na watumishi, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko (katikati) baada ya kutembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya inayohusika na Maadili kutoka Utumishi, Bw. Pokela.

pic.3

Watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko (hayupo pichani).

pi.4

Mtumishi wa Mamlaka, Bw. Fidelis Bugoye (aliyesimama) akiuliza swali kwa Naibu Katibu Mkuu, Bi. Dorothy Mwaluko, wakati wa Kikao na  watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali leo.

pic.5

Mkurugenzi wa Idara ya Maadili kutoka Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Pokela , akiongea na watumishi wa Mamlaka kuhusiana na masuala ya maadili ndani ya utumishi wa umma. Wengine kutoka kulia ni Naibu katibu Mkuu, Bi. Dorothy Mwaluko, Mkemia Mkuu wa serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Mamlaka,             Bw. George Kasinga.

pic.6

Kaimu Meneja, Rasilimali Watu na Kumbukumbu, Bi. Benadetha Lankii (aliyesimama) akijibu maswali aliyoulizwa na Naibu Katibu Mkuu, kuhusiana na masuala ya watumishi.

About Alex

Check Also

DSC_1656

MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

14 − nine =