Sunday , August 19 2018

Home / MCHANGANYIKO / RC MBEYA- MISITU YA HIFADHI ILINDWE ,ZIWA NGOZI ,DARAJA LA MUNGU NI VIVUTIO VYA UTALII MBEYA

RC MBEYA- MISITU YA HIFADHI ILINDWE ,ZIWA NGOZI ,DARAJA LA MUNGU NI VIVUTIO VYA UTALII MBEYA

IMG-20180613-WA0083
Kamati  ya ulinzi  na usalama mkoa wa MBEYA  Leo  imefanya  ziara  kukagua hali ya MISITU  ya HIFADHI  mlima Rungwe, Uporoto  na Sawago  na kuelekeza kamati  za ulinzi na usalama ngazi zote na wananchi  kulinda MISITU hiyo  kwani ni vyanzo vikubwa vya  maji na uoto  wa asili 
IMG-20180613-WA0084
Mkuu wa mkoa amepiga  marufuku  shughuli zote  za kijamii  ktk MISITU  yote  ya hifadhi ikiwemo  uwindaji, kilimo, ukataji miti na uchomaji moto  MISITU 
IMG-20180613-WA0085
Aidha  kamati imetembelea Ziwa Ngozi  na kuelekeza Tarura na halmashauri za Rungwe na MBEYA  kuboresha miundombinu  KWA ajili ya kuwezesha watalii kufika KWA urahisi ktk  ziwa Ngozi, DARAJA la MUNGU na mlima  Rungwe

About Alex

Check Also

DSC_1656

MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

seven − two =