Monday , February 18 2019

Home / 2018 / June / 14

Daily Archives: June 14, 2018

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHE. DKT. MPANGO , AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2018/19

AC3A2636

UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2018/19. Bajeti hii inawasilishwa kwa kuzingatia matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 137 ikisomwa pamoja na Sheria ya Bajeti …

Read More »

PS3 Yaombwa Iende Mikoa Yote Tanzania

AA

Afisa TEHAMA kutoka OR TAMISEMI Mfaume Mnokote akiwasilisha mada ya matumizi ya dawati la dharura kwa washiriki wa mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 jijini Mwanza Mmoja ya washiriki wa Mafunzo ya Epicor 10.2 akitoa msaada wa kiufundi wakati wa mafunzo hayo Bibi Shani Mangesho Ofisa Msimamizi wa fedha mwandamizi …

Read More »

RC Wangabo Ateua Kamati Ya Amani Rukwa

P_20171130_155150_vHDR_On

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ……………. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameteua timu ya watu watatu kutoka katika madhehebu matatu ya kidini mkoani humo ili kufanya maandalizi na uratibu wa uanzishwaji wa kamati ya amani inayotarajiwa kuanza kazi yake mwishoni mwa mwezi wa saba …

Read More »

MANGULA AFANYA ZIARA KIWANDA CHA BIOTECH PRODUCTS LTD KIBAHA

IMG_20180614_122222

Meneja wa udhibiti wa ubora na viwango katika kiwanda kinachozalisha dawa za viuadudu vya mazalia ya mbu,Biotech Products Ltd Kilichopo Kibaha mkoani Pwani, Samwel Mziray (wa kulia),akimuelezea jambo makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara ,Philip Mangula (wa kati) wakati alipokwenda kutembelea kiwanda hicho,Wa kushoto ni mkuu wa mkoa …

Read More »

Tigo Pesa Yamwaga Mamilioni Kwa Mawakala Wake

Said Khatib

Mkurugenzi wa Tigo, Kanda ya Pwani – George Lugata (kushoto)  pamoja na Mtaalam wa Masoko wa Tigo Pesa – Restituta Kedmond wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni iliyohusisha mawakala 73,000 wa Tigo pesa nchini kote. Tigo imetoa zawadi za mamilioni ya …

Read More »

Maombi Ya Kuliombea Taifa kufanyika kuanzia kesho Mkoani Manyara

26238992_180916445834437_4171220578853744853_n

Na Mwandishi Wetu, Babati MKUU wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la uponyaji ambalo linatarajiwa kufanyika wilayani Babati mkoani humo kwa ajili ya kuliombea Taifa. Kongamano hilo ambalo litafanyika kwa siku tatu katika Uwanja wa Kwaraa mjini Babati litaanza Juni 15 (kesho) hadi Jumapili …

Read More »

DKT. NDUGULILE HAIMIZA UTUNZAJI MZURI WA DAWA

pix 1

Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiongea na Wafamasia hawapo pichani wakati wa maadhimisho ya wiki ya Famasia yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam. Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wa kwanza kushoto akipata maelezo juu ya dawa aliyoishika kutoka …

Read More »

VIDEO:WASOMAJI KUTUSUA MAISHA NA GLOBAL KUANZIA KESHO

TUSUA-2

  KUANZIA kesho (Ijumaa) Kampuni ya Global Publishers itaanza kuendesha shindano maalum lililopewa jina la ‘Tusua Maisha na Global’ kwa ajili ya wasomaji wake ambao watajishindia pikipiki ambapo kila wiki itatoka moja. Wasomaji wa Magazeti ya Michezo ya Championi, yanayotoka siku nne kwa wiki, yani Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumamosi …

Read More »

Tanzania Yaongoza Ukuaji Uchumi Afrika Mashariki

AC3A2669

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpango akiwasilisha hoja Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2017/18 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2018/19 katika Mkutano wa 11 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 14 Juni 2018 Jijini Dodoma. Waziri wa Madini Mhe. …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

dsc00292-620x308-2

WATOTO WAWILI WAFARIKI DUNIA WAKATI WAKIOGELEA KWENYE SHIMO LILILOJAA MAJI WILAYANI SENGEREMA. WATU TISA WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUSHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KATIKA MAUJI YA MSICHANA MMOJA WILAYANI MISUNGWI. KWAMBA TAREHE 13.06.2018 MAJIRA YA SAA 17:00HRS JIONI KATIKA KIJIJI CHA KASOMEKO KATA YA KATUNGURU …

Read More »