Monday , February 18 2019

Home / 2018 / June / 15

Daily Archives: June 15, 2018

WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEZA MATENDO MEMA

PMO_1895

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiteta na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir katika Baraza la Eid kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoj jijini Dar es salaam Juni 15, 2018. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli .   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Baraza la Eid kwenye Viwanja vya …

Read More »

MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKABIDHI ZAWADI MASHINDANO YA MASAUNI-JAZEERA VISIWANI ZANZIBAR AWAASA VIJANA KUTAMBUA MICHEZO NI AJIRA RASMI

PIX 1

Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James (wapili kulia), Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni, Nassoro Salim Jazeera (wakwanza kulia) na Mbunge wa jimbo hilo wakiwakabidhi kombe wachezaji wa timu ya Miembeni baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa fainali ya Mashindano ya Masauni-Jazeera …

Read More »

SERIKALI KUENDELEA KUHAMASISHA JAMII KUCHANGIA DAMU

DSC05900

Wadau wa damu wakichangia damu kwenye maadhimisho ya Siku ya wachangiaji Damu Duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza ya sekou Toure. Wadau wa damu wakichangia damu kwenye maadhimisho ya Siku ya wachangiaji Damu Duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza ya sekou Toure. …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA BARAZA LA IDD EL FITRI LEO

????????????????????????????????????

Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ukiwasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,Rais akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika leo katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, [Picha na Ikulu.] …

Read More »

WAISLAMU WAASWA KUTUNZA AMANI NA KUDUMISHA MSHIKAMANO

DSC05910

Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika picha mbalimbali wakati wa ibada ya swala ya Idd el Fitri iliyofanyika Mbugani katika Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza jana. Picha zote na Baltazar Mashaka Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Mwanza ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya …

Read More »

Maafisa TEHAMA Mkoani Iringa Wapigwa Msasa Jinsi Ya kutoa Usaidizi katika Mifumo Inatumika katika Halmshauri Na Vituo Vya kutoa Huduma leo

Pix 1 Bi Hellen

Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa akisisitiza jambo kwa maafisa Tehama wa Halmashauri na Manispaa wa mikoa ya Iringa, Morogoro,Kilimanjaro na Tanga wakati wa mafunzo ya  jinsi ya kutoa usaidizi katika mifumo mbalimbali ambayo inatumika …

Read More »

Maafisa TEHAMA Watakiwa Kutekeleza Majukumu yao Kwa Weledi

1

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Rebeca Kwandu akifungua mafunzo ya matumizi ya mfumo wa EPICOR 10.2 yanayofanyika jijini Mbeya yakiwashirikisha maafisa TEHAMA wa mikoa ya Njombe, Mbeya, Katavi, Rukwa na Songwe. Mkuu wa Timu ya Habari na Mawasiliano kutoka mradi wa PS3 Bi. Leah Mwainyekule akitoa maelezo ya …

Read More »

WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE

1

Sheikh  wa Mkoa wa Tabora Ibrahim Mavumbi (mbele) akiongoza Swala ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kimkoa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi jana (leo) mjini Tabora. Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislaam wakiwa katika Swala ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kimkoa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi jana (leo) …

Read More »

RC GAMBO:WAANDISHI KUWENI WAZALENDO KWA MKOA NA TAIFA LENU

DSC_0182

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiendesha mazungumzo pamoja na mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiendelea katika kikao. Cha siku. Moja cha waandishi wa habari pamoja na wadau wa taasisi za serikali mkoani hapo. Picha na Vero Ignatus. Mkuu wa Wilaya ya Arusha Fabian Gabriel Daqarro akizungumza na waandishi wa habari …

Read More »

SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA

DSC_2591

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid  El Fitri  baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara …

Read More »

CECAFA YAKUBALI KUJITOA KWA YANGA KOMBE LA KAGAME CUP MSIMU WA 2018

YANGA 1232145_0

  Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekubali maombi ya Yanga kujiondoa katika mashindano ya KAGAME baada ya kutuma barua iliyoeleza kuomba kujitoa Yanga ilituma barua kupitia TFF ikiomba kujiondoa ili kuwapa nafasi wachezaji wake mapumziko kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi …

Read More »

TATU MZUKA YAZINDUA ‘SUPA MZUKA CUP’ YA MILIONI 300

GY3A9929

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Tatu Mzuka, Sebastian Maganga, akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo jijini Dar,wakati wakizindua ushirikiano na VODACOM, ambapo wateja wa MPESA wataweza kushinda dakika za bure, intaneti na bidhaa mbalimbali kwa kipindi chote cha kampeni pichani kulia ni Mkuu wa kitengo cha Maendeleo ya biashara …

Read More »