Monday , February 18 2019

Home / 2018 / June / 16

Daily Archives: June 16, 2018

UFARANSA YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA DHIDI YA AUSTRALIA

KOMBE-3

Ufaransa imefanikiwa kuibuka na ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu nchini Russia wa mabao 2-1 dhidi ya Australia. Mabao ya mchezo huo yametiwa kimiani na Antoine Griezmann katika dakika ya 58 kwa njia ya mkwaju wa penati na la pili likitiwa kimiani na Paul …

Read More »

KIPA WA ICELAND AWA MCHEZAJI BORA WA MECHI DHIDI YA ARGENTINA

Kipa

Golikipa wa timu ya taifa ya Iceland, Hannes Þór Halldórsson, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mechi ya michuano ya Kombe la Dunia katika mchezo wa leo dhidi ya Argentina. Halldorsson amepata tuzo hiyo ya mchezaji bora baada ya kuokoa michomo mingi ya wachezaji wa Argentina ikiwemo penati ya Lionel Messi. Katika …

Read More »

TAA YALA WA IDD EL FITRI KWA WAZEE NA WATOTO YATIMA TABORA

IMG_2105 (1024x683)

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mkoani Tabora imetoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi 2.5 kwa ajili ya kusaidia Vituo viwili vya Wazee na Watoto yatimakatika Manispaa ya Tabora. Msaada huo umekabidhiwa jana na Kaimu Meneja wa Kiwanja cha Ndege …

Read More »

UTOFAUTI WA Infinix HOT 6 KWA SAMSUNG J5

image1

Hivi karibuni kampuni ya simu ya Infinix imeingiza sokoni simu mpya aina ya Infinix HOT 6 inayoonekana kufanya vizuri sokoni ukilinganisha na simu kama Samsung J5 prime na NOKIA 3. Na baada ya kufanya utafiti nikabaini Infinix HOT 6 japokuwa imebeba sifa (specification) kuzidi simu kama Samsung j5 prime lakini …

Read More »

TRA YATAIFISHA BOKSI 41 ZA MVINYO NA POMBE KALI DODOMA

PICHA 2

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere akifungua boksi katika duka la jumla Jijini Dodoma kuangalia kama vinywaji vilivyomo kwenye boksi hilo vina Stepu za Kodi wakati akifanya ukaguzi wa matumizi ya Mashine za Kielektroniki za Kutolea Risiti (EFDs) kwenye maduka na vituo mbalimbali vya mafuta. …

Read More »

MILIONI 600 ZATENGWA KWA AJILI YA VIJANA NA WANAWAKE URAMBO

PESA

Na, TIGANYA VINCENT RS TABORA. JUMLA ya shilingi milioni 600 zimetengwa na Mfuko wa Rais wa kujitegemea kwa ajili ya kuwanufaisha vijana na wanawake wajasiliamali  waliojiunga katika vikundi wilayani Urambo. Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Mfuko huo Haigath Kitala wakati akikabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 26.9 kwa ajili …

Read More »