Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / June / 17

Daily Archives: June 17, 2018

BAKWATA MWANZA KUREJESHA MALI ZA WAISLAMU ZILIZOHODHIWA, KUPORWA

DSC05927

Sheikh Hassan Kabeke akizungumza kwenye Baraza la Idd jijini Mwanza ambalo lilifanyika katika ukumbi wa Makutano wa New Mwanza Hotel juzi. Picha na Baltazar Mashaka …………. NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limesema halitakubali kuonewa na watu wachache na limedhamiria kurejesha mali za Waislamu zilizohodhiwa kwa …

Read More »

ATUKUNUKIWA BAISKELI KWA KUCHANGIA DAMU MARA 75

DSC05893 POKEA BAISKELI YA KUMBUKUMBU YA DAMU

Mfanyakazi wa Kituo cha Damu Salama Kanda ya Ziwa Debora Kihedu akipokea cheti kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mary Tesha ikiwa ni kuthamini uchangiaji wake wa damu kwa hiari ambapo amechangia mara 25. hafla hiyo ilifanyika wakati wa maadhimisho ya siku ya damu duniani.Kulia ni Mwenyekiti wa The …

Read More »

DAVIDO AMPANDISHA DIAMOND KWENYE SHOW YA CLOUDS

30A3414-1-950x633

Na Amini Nyaungo Muimbaji kutokea Nigeria Davido alifanya show katika Ukumbiwa Next Door Arena ulipo Dar es Salaam ambapo aliambata na wasanii wanao fanya muziki wa bongofleva ambao ni Ruby, Nandy, The Mafik, Aslay na wegine. Lakini Moja ya Jambo ambalo halikutegemewa na mashabiki ni kumuona msanii Diamond Platnumz akipanda …

Read More »