Friday , March 22 2019

Home / 2018 / June / 18

Daily Archives: June 18, 2018

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

mlipuko+pix

AJALI YA GARI KUGONGA NYUMBA/ OFISI YA FERRY NA KUSABABISHA KIFO NA MAJERUHI. MNAMO TAREHE 18/06/2018 MAJIRA YA SAA 13:15HRS MCHANA KATIKA BARABARA YA USAGARA   – KIGONGO FERRY MAENEO YA KINGONGO FERRY KIJIJI CHA KIGONGO FERRY KATA YA BUKUMBI  TARAFA YA USAGARA WILAYA YA MISUNGWI MKOA WA MWANZA, GARI NO. …

Read More »

MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAFANA MUHIMBILI

001

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanafaniyika kwa  siku tatu mfulilizo. Wananchi mbalimbali wamefika kwa wingi katika hospitali hiyo kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na hospitali …

Read More »

ALIYESABABISHA OFISI YA RIDHIWANI KUTEKETEA KWA MOTO AKAMATWA

IMG-20180617-WA0064

Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze JESHI la polisi mkoani Pwani, lina mshikilia Mariam Joakim mwenye miaka (52),kwa kosa la kudaiwa kusababisha kuteketeza kwa moto ofisi ya mbunge wa jimbo la Chalinze ,Bagamoyo Ridhiwani Kikwete . Kamanda wa polisi mkoani Pwani (ACP) Jonathan Shanna ,alithibitisha juu ya taarifa hiyo . Alisema tukio …

Read More »

Upinzani Wapongeza Juhudi za Serikali Kukuza Uchumi

P1

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (Mb), akizungumza wakati wa kikao cha 52 cha Bunge la 1 leo tarehe 18 Juni, 2018 Jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Hawa Ghasia akiwasilisha taarifa …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ATOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI TANO KWA MTOTO LATIFA KADOGOSA ALIYEPOOZA MWILI JIJINI DAR ES SALAAM

1

Katibu wa Rais Ngusa Samike akimkabidhi Rehema Kadogosa ambaye ni Mama wa Mtoto Latifa Kadogosa (13) aliyelala kitandani kiasi cha Shilingi milioni tano (5,000,000/-) fedha zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya kumsaidia mtoto huyo ambaye ana matatizo ya kiafya …

Read More »

TAKUKURU PWANI YABURUZA KESI 34 MAHAKAMANI-SUZAN

SAM_3369

Mkuu wa TAKUKURU Pwani, Suzan Raymond, akitoa taarifa juu ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo ,kuanzia July 2017/June 2018 Picha na Mwamvua Mwinyi ……………….. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoani Pwani, inaendesha kesi 34 kwenye mahakama mbalimbali mkoani hapo ,katika kipindi cha July …

Read More »

DKT TIZEBA ASHTUSHWA WANAWAKE PEKEE KUVUNA PAMBA

DSC_1296

Waziri wa kilimo Mhe Dkt. Charles Tizeba akishiriki uvunaji wa zao la Pamba, wakati alipotembelea Kijiji cha  Mwakipoleja kilichopo kata ya Mbutu Wilayani Igunga Mkoani Tabora akiwa safarini kuelekea Mjini Dodoma, Jana 17 Juni 2018. Picha zote Na Mathias Canal-WK Waziri wa kilimo Mhe Dkt. Charles Tizeba akimkabidhi Felista Elius pamba aliyovuna, wakati alipotembelea …

Read More »

Bonanza kubwa La Michezo kufanyika Jijini Dodoma

New-Picture-520x330

YAH: TAMASHA LA MICHEZO (SPORTS BONANZA) Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) linatarajia kufanya Tamasha la Michezo (Sports Bonanza) Siku ya Jumamosi tarehe 30 Juni, 2018 kuanzia saa kumi na mbili na nusu (12.30) asubuhi katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Tamasha hili litashirikisha Makatibu Wakuu, …

Read More »

ZUBER AINYIMA USHINDI BRAZIL YA BISHOO NERMAR KOMBE LA DUNIA

4D5A040000000578-0-image-a-26_1529263321249

Kiungo Steven Zuber akishangilia kwenye kibendera cha kona baada ya kuifungia bao la kusawazisha Uswisi dakika ya 50 katika sare ya 1-1 na Brazil leo kwenye mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi, kufuatia Philippe Coutinho kuanza kuwafungia wenyeji wa fainali zilizopita mwaka 2014 dakika …

Read More »