Monday , February 18 2019

Home / 2018 / June / 19

Daily Archives: June 19, 2018

SENEGAL YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA, YAICHAPA POLAND 2-1

4D69D2F300000578-5861709-image-a-34_1529425933457

Wachezaji wa Senegal wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Thiago Cionek aliyejifunga dakika ya 37 baada ya kubabatizwa na shuti la Idrissa Gana Gueye katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia leo Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moscow, Urusi. Bao la pili la Senegal limefungwa na Mbaye Niang dakika …

Read More »

Waziri Mkuu Azindua Rasmi Kampeni ya Furaha Yangu

15 utepe..

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania  (TACAIDS) , Dkt Leonard Maboko akihutubia wageni waalikwa katika uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya kupima VVU na kuanza kutumia dawa mapema ijulikanayo kama Furaha Yangu iliyofanfyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Waziri Mkuu, …

Read More »

TECNO SPARK 2, Angaza Nyakati Za Maisha Yako

image1

TECNO inafanya vizuri sana kwenye soko la ‘smartphone’ Tanzania. Hii inajidhihirisha kutokana na jinsi simu ya Spark ilivyofanya vyema mwaka jana. Mwaka huu TECNO wamekuja na Spark 2 ambayo imeboreshwa zaidi maalum kabisa kwa ajili yako wewe. Imekuja na umbo jembamba pia ni nyepesi yenye nchi 6.0 HD+ na wigo …

Read More »

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAPILI 8.JULAI ,2018 MAMLING,AUSTRIA

Ngoma Africa Band aka FFU Hapa Kazi Tu

Baada ya kuwadatisha washabiki katika maonyesho mawili makubwa kule Regensburg Festival  na Birkenreid festival Ujerumani sasa kamanda Ras Makunja anakipeleka kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni katika onyesho kubwa la Mamling Festival   nchini Austria ,onyesho hilo litafanyika siku ya  jumapilii 8Julai 2018 ,akiongea na vyombo vya habari kiongozi …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

mlipuko+pix

MWANAUME MMOJA AMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA KITU CHENYE NCHA KALI SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE KISHA NA YEYE MWENYEWE KUJICHOMA KISU TUMBONI NA KUFARIKI DUNIA WILAYANI SENGEREMA. KWAMBA TAREHE 19.06.2018 MAJIRA YA SAAA 05:00HRS ALFAJIRI KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI IITWAYO ANGEL GUEST HOUSE ILIYOPO KIJIJI CHA KANYARA KILICHOPO …

Read More »

KUNA KILA SABABU YANGA KUMHITAJI MANJI

Yusuph-Manji-1-702x336

Na Abdul Dunia YUSSUF Mehboob Manji, alikuwa mtu muhimu katika klabu ya Yanga, amekuwa mhimili mkubwa kwenye maisha ya wana Yanga na ataendelea kuwa na umuhimu miaka na miaka. Umuhimu wa Manji ndani ya Yanga ulianza kuonekana baada ya kuamua kuachana nayo, Yanga ambayo ilikuwa ikipata kila ilichohitaji kwa sasa …

Read More »

ANZISHENI KAMPENI ZA KUHAMASISHA UPIMAJI WA VVU-MAJALIWA

PMO_2965

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Afisa Muuguzi Msaidizi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma Flora Kamwela, wakati alipozindua Kampeni za Kuhamasisha Upimaji wa VVU  na kuanza dawa mapema, kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Juni 19, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihamasisha upimaji wa Virusi vya  Ukimwi …

Read More »

Wabunge Waikubali Bajeti ya Serikali

T1

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati majadiliano kuhusu hali ya uchumi wa taifa, mpango wa maendeleo wa mwaka 2018/19 na mapendekezo ya bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2018/19 katika kikao cha 11 cha mkutano wa Bunge la 52 leo …

Read More »

WACHEZA GOLF ZAIDI YA 100 WATHIBITISHA KUSHIRIKI LUGALO OPEN

press lugalo open

Mwenyekiti Lugalo Golf Club  Brigedia Jenerali Michael Luwongo katikati akiongea na Waandishi wa Habsari kuhusu Mashindano ya TANAPA lugalo open yanayotarajia kuanza Juni 22 Jijini Dar Es Salaam Picha na Luteni Selemai Semunyu ……………….. Na Luteni Selemani Semunyu, JWTZ Wachezaji zaidi ya 100 wa Mchezo wa Gofu kutoka vilabu mbalimbali …

Read More »

STARTIMES YAZINDUA WASAFI TV KWENYE KING’AMUZI CHAKE

1

StarTimes yazindua Wasafi TV kwenye king’amuzi chake. Sasa watanzania wengi zaidi watapata nafasi ya Kuburudika na Wasafi TV kwani king’amuzi cha StarTimes ndicho chenye watazamaji wengi zaidi Tanzania. Dar es Salaam, Wapenzi wa burudani kote nchini ni wakati wao kufurahia baada ya Kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY

1

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeihakikishia Serikali ya Norway kuwa inaendelea kuelekeza nguvu zake kwenye kuweka mikakati sahihi ya kuvutia uwekezaji kutoka nje ya nchi, ikiwemo nchi ya Norway, ili kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania.   Hayo yamesemwa na Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya …

Read More »

Mufindi, PELUM kutoa Hatimiliki za kimila 700

????????????????????????????????????

Asafu Mgelekwa na Mkewe Atuganule Lunyungu wakiwa wameshikilia hati zao za pamoja. Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ugesa wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa na hatimiliki zao za kimila. Simon Mbago Afisa Ardhi Mufindi akimsaidia mwananchi kuweka saini kwenye fomu kama uthibitisho ya kuwa amepokea hati. …………………………………………………………………………………….. Na Mwandishi …

Read More »

KILIMO CHA PAMBA KUNOGESHA MAPINDUZI YA VIWANDA

PMO_0440

   *Ni kutokana na juhudi za Serikali za kuhamasisha kilimo cha pamba  ZAO la pamba ni miongoni mwa mazao makubwa ya biashara yaliyokuwa yakiliingizia Taifa fedha nyingi za kigeni na kuchangia kukuza uchumi wa wananchi miaka ya 1970.  Kwenye miaka ya 1970 kulisheheni vyama vingi vya ushirika wa zao la …

Read More »