Tuesday , December 11 2018

Home / BURUDANI / NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAPILI 8.JULAI ,2018 MAMLING,AUSTRIA

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAPILI 8.JULAI ,2018 MAMLING,AUSTRIA

Ngoma Africa Band aka FFU Hapa Kazi Tu Ebrahim Makunja aka Kamanda ras Makunja Kiongozi wa Ngoma Africa Band Kamanda Ras makunja akiwa na kikosi cha Ngoma Africa Band mjini tubingen ujerumani Ngoma Africa band kibaruani Ngoma Africa band walipofunga kazi Tubingen

Baada ya kuwadatisha washabiki katika maonyesho mawili makubwa kule Regensburg Festival  na Birkenreid festival Ujerumani sasa kamanda Ras Makunja anakipeleka kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni katika onyesho kubwa la Mamling Festival   nchini Austria ,onyesho hilo litafanyika siku ya  jumapilii 8Julai 2018 ,akiongea na vyombo vya habari kiongozi wa bendi hiyo Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja alisema Ngoma Africa band ni mali ya washabiki na ina kazi moja tu nayo kudatisha washabiki katika kila onyesho bila kuremba remba , bendi hiyo iliyojizolea umaarufu na maelfu ya washabiki kila kona duniani imejiwekea rekodi ya aina yake kuwa ni bendi ya mwanzo ya kiafrika kuimiri vishindo,na kudumu kwa miaka 24  ughaibuni na kufanikiwa kuwanasa washabiki wa kimataifa.

ungana nao at www.ngoma-africa.com

wape hi at www.facebook.com/ngomaafricaband

 

About Alex

Check Also

eliza

MISS TANZANIA AKIMBIZA SHINDANO LA MISS WORLD,MPIGIE KURA HAPA

Zikiwa  zimebaki siku mbili ili kufanyika kwa kilele cha shindano la urembo la dunia (Miss …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nineteen − three =