Monday , February 18 2019

Home / BIASHARA / Watanzania Changamkieni Fursa ya kujiandikisha kushiriki katika Maonyesho Ujerumani

Watanzania Changamkieni Fursa ya kujiandikisha kushiriki katika Maonyesho Ujerumani

maonyesho_1

Union Of Tanzanians in Germany (U.T.U e.V) Union der Tansanier in Deutschland C/o Mfundo Peter Mfundo, Leiderer Stadtweg 12, 63741 Aschaffenburg, Germany

Nafasi za kushiriki maonyesho ya Biashara,Sanaa na Utamaduni Ujerumani “The 8 International Afrika Festival Tubingen 2018 Germany”

Umoja wa Tanzania Ujerumani (UTU e.V) inapenda kuwakaribisha wafanya biashara wote waliopo Tanzania na nje ya Tanzania kuudhuria tamasha hili kubwa la maonyesho ya Biashara, Sanaa na utamaduni la “The 8 International Afrika Festival Tubingen 2018 Germany” ambayo nchi lengwa ya (focus Contry) mwaka 2018 ni TANZANIA,

ili kupata fursa ya kutangaza biashara, bidhaa, utamaduni, pia kukutana na wafanya biashara wengine kwa ajili ya kubadilishana mawazo au mawasiliano na kujenga mtandao wa kibiashara duniani, na pia kukutana na wawekezaji ambao wanapendelea kuwekeza Tanzania, UTU e.V inapenda kuwataarifu watanzania wote duniani kuhudhuria tamasha hili kubwa la aina yake.

FURSA: 1. Utaweza kutangaza biashara yako, kama una bidhaa yoyote mfano: kahawa, pamba , ufuta, nk, uje na mifano ya bidhaa hio (samples)

  1. Utaweza kuwasiliana, kufanya mazungumzo na wafanya biashara na wakulima wa hapa ujerumani, ili kuweza kubadilishana uzoefu, na pia kuangalia fursa za ubia na ushirikiano.
  2. Utaweza kukutana na Wawekezaji wengi ambao wengi wao wana kiu ya kuwekeza nchini Tanzania (Business to Business) hasa katika sekta ya kilimo, utalii na viwanda kwa kuwa wamevutiwa sana na serikali ya awamu ya tano ya TANZANIA YA VIWANDA inayoongozwa na rais John Pombe Magufuli.

UTU e.V Inawaomba wafanya biashara wadogo, wafanyabiashara wakubwa na wafanyabiashara wa kati msikose fursha hii. Tafadhali jiandikishe sasa.

Tübingen, Germany 2018 contact: www.gaiexpo.com info@gabs-germany.de au kontakt@afrikafestival.net

Usisahau: FOCUS LAND 2018 ni TANZANIA

Contacts: Postfach 100130, 63701 Aschaffenburg. Chairrman: Mfundo Peter Mfundo +49(0)173 7363422. Vice Chairman: Salim MalumboJr+49(0)15224082848. Secretary: Julieth Meyn +49 (0) 15771729259: Bank Informations Union of Tanzania in Germany e.V, IBAN: DE90711600000000059641 Volksbank Raifeisenbank Rosenheim-Chiemsee eG, Amtsgericht Charllotenburg VR 30612. Steuernummer 204/111/20466 Finanzamt Aschaffenburg

Union Of Tanzanians in Germany (U.T.U e.V) Union der Tansanier in Deutschland C/o Mfundo Peter Mfundo, Leiderer Stadtweg 12, 63741 Aschaffenburg, Germany

Contacts: Postfach 100130, 63701 Aschaffenburg. Chairrman: Mfundo Peter Mfundo +49(0)173 7363422. Vice Chairman: Salim MalumboJr+49(0)15224082848. Secretary: Julieth Meyn +49 (0) 15771729259: Bank Informations Union of Tanzania in Germany e.V, IBAN: DE90711600000000059641 Volksbank Raifeisenbank Rosenheim-Chiemsee eG, Amtsgericht Charllotenburg VR 30612. Steuernummer 204/111/20466 Finanzamt Aschaffenburg

Union Of Tanzanians in Germany (U.T.U e.V) Union der Tansanier in Deutschland C/o Mfundo Peter Mfundo, Leiderer Stadtweg 12, 63741 Aschaffenburg, Germany

Contacts: Postfach 100130, 63701 Aschaffenburg. Chairrman: Mfundo Peter Mfundo +49(0)173 7363422. Vice Chairman: Salim MalumboJr+49(0)15224082848. Secretary: Julieth Meyn +49 (0) 15771729259: Bank Informations Union of Tanzania in Germany e.V, IBAN: DE90711600000000059641 Volksbank Raifeisenbank Rosenheim-Chiemsee eG, Amtsgericht Charllotenburg VR 30612. Steuernummer 204/111/20466 Finanzamt Aschaffenburg

About Alex

Check Also

1

Mfumo wa Malipo ya Papo kwa Papo Tanzania Instant Payment System (TIPS) kurahisisha utumaji wa fedha

Naibu Gavana wa BoT Dk.Benard Kibese akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa  Malipo ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

19 + twelve =