Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / June / 20

Daily Archives: June 20, 2018

WAZIRI WA MIFUGO AOMBA RADHI BUNGENI…SPIKA ATOA MSIMAMO

LUHAGA

*Ni kwa kitendo cha Wizara kuingia mgahawa wa Bunge kupima samaki *Amwambia Waziri Mkuu kilichofanyika si uungwana, akubali kusamehe yaishe Na Said Mwishehe,Globu ya jamii PAMOJA na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina kuliomba radhi Bunge kwa kitendo cha Wizara yake kuingia kwenye mgahawa wa Bunge bila kibali na …

Read More »

UMMY MWALIMU AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA MDEMU

????????????????????????????????????

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na wanakijiji wa kata ya Mdemu hawapo pichani wakati wa uwekaji jiwe la msingi katika kituo cha Afya Mdemu wilayani Bahi  jijini Dodoma. …………………. NA WAMJW-DODOMA WAZIRI wa Afya,maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ameweka jiwe la …

Read More »

WAZIRI MKUU NA MATUKIO YA PICHA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

PMO_9816

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, bungeni  jijini Dodoma Juni 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Joseph Kakunda, bungeni jijini Dodoma …

Read More »

RC MAKONDA KUJENGA VIWANJA VITANO VYA BASKETBALL.

index

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amefanikiwa kupata wadau watakaojenga Viwanja 5 vya Basketball (in door) kwenye wilaya zote Tano za Mkoa huo kwa lengo la kuimarisha sekta ya michezo. RC Makonda amesema Viwanja hivyo pia vitaweza kutumika kwa Michezo zaidi ya Mitano ikiwemo Ngumi, Mieleka, …

Read More »

MWAKILISHI WA UNICEF AMUAGA RAIS DK.SHEIN

DSC_4110

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na  Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais baada ya …

Read More »

WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA

DSC_0140

 Meza kuu Wajumbe wa Sekretariet ya CCM wakiimba wimbo alipowasili Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Ndg Abdulrahman Kinana katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga  na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipeana Mkono na Katibu …

Read More »

TANZANIA IMEBADILIKA SANA

unnamed

  Na Emmanuel J. Shilatu   Tanzania ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya wakati ule tunapata Uhuru mnamo Disemba 9, 1961. Imebadilika sana kwenye nyanja zote za kimaisha na hata katika awamu zote za Urais zilizoongoza nchi. Si awamu ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na hata hii ya …

Read More »

MTAZAMO WA WADAU KUHUSIANA NA Infinix HOT 6

image1

                    Baada ya ujio wa Infinix HOT 6 na kufanya vizuri sokoni kutoka na muonekano na uwezo wake lakini pia wadau wameweza kuongelea upande wake wa pili na kuweza kuyawasilisha kama ifuatavyo. Infinix HOT 6 ni simu iliyoboreshwa zaidi katika vionjo vya muziki kama vile spika mbili ikiwa na maana …

Read More »

Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini Wapatikana

IMG_8548

Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi Tigo kanda ya kaskazini, ,Aidan Komba akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh Milioni mbili kwa mshindi wa kwanza, Kanda ya Kaskazini wa Promosheni iliyowahusisha Mawakala mtandao wa Tigo kupitia Tigo Pesa,Real Stationary kutoka wilaya ya Same. Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano …

Read More »

MISRI YATANDIKWA 3-1 NA KUWA TIMU YA KWANZA KUTOLEWA KOMBE LA DUNIA 2018

4D6B790F00000578-5862281-image-m-44_1529433550038

Mshambuliaji wa Misri, Mohamed Salah akimtoka beki wa Urusi anayejaribu kumkwatua wakati wa mchezo wa Kundi A Kombe la Dunia Uwanja wa St Petersburg mjini Moscow. Urusi imeshinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Ahmed Fathy aliyejifunga dakika ya 47, Denis Cheryshev dakika ya 59 na Artem Dzyuba dakika ya 62 wakati la Misri limefungwa na Mohamed …

Read More »