Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / June / 21

Daily Archives: June 21, 2018

SIMBA B WASHINDI WA TATU KOMBE LA UHAI CUP U-20

Simba-B-1

Timu ya vijana cha Simba kimefanikiwa kuwa mshindi namba 3 wa michuano ya Vijana wa Timu za Ligi Kuu Bara chini ya Umri wa MIaka 20 (Uhai CUP – Under 20) ilivyokuwa ikifanyika Uwanja wa Chuo kikuu jijini Dodoma baada ya ushindi  wa mabao 4-3 kwa njia ya matuta dhidi …

Read More »

SERIKALI KUONGEZA WATAALAMU WA AFYA-MAJALIWA

PMO_0282

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati  alipozindua majengo  ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi mkoani Dodoma yaliyojengwa kupitia ufadhili wa  Mfuko wa  Dunia  wa Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) Juni 21, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu  ……………… WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikaliitaongeza idadi …

Read More »

Vodacom Tanzania Yakabidhi Gari La kwanza Jijini Mwanza

kupanda

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella(kulia) akimkabidhi ufunguo wa gari mkazi wa Geita Pasquina Ignas, baada ya kuibuka mshindi wa matumizi ya Mpesa wakati wa hafla ya kuadhimisha mika 10 ya Mpesa,Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Vodacom Mworia Rosalynn(kushoto) akishuhudia. Mshindi wa kutumia huduma za Mpesa mkazi wa …

Read More »

TECNO KUZINDUA TECNO SPARK 2 RASMI

Capture2

  Dar es Salaam,  Baada ya amsha amsha nyingi kuhusiana na ujio wa TECNO spark 2. kampuni ya simu ya TECNO imeitambulisha rasmi TECNO spark 2 kwa mara ya kwanza katika ukumbi wa tips jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo muongeaji wa kampuni ya TECNO, Bwana Erick Mkomoye alitoa …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

index

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama hali inayopelekea kupata mafanikio makubwa ikiwa …

Read More »

WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI KILICHOKWAMA KUFUNGULIWA WILAYAHI HUMO

PIX 2

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (aliyevaa skafu shingoni) akiingia katika Kituo cha Polisi Chipanga, Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, wakati alipofanya ziara ya kukikagua kituo hicho ambacho kilijengwa na wananchi lakini hakikufunguliwa tangu mwaka 2005 kutokana na sababu mbalimbali. Hata hivyo, Dk. Mwigulu ametoa wiki …

Read More »

PAPA FRANCIS AMTEUA ASKOFU MKUU RUWAICHA KUMRITHI PENGO

Balozi

Balozi wa Papa nchini, Askofu Mkuu Joseph Chenos (kulia) akiwa na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (kushoto) alipomsika Yuda Thaddaeus Rwaichi kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza katika viwanja vya vya Kawekamo jijini humo. (Picha na Maktaba) BABA Mtakatifu …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA MBALI MBALI ZA SPIKA NDUGAI KATIKA MAONYESHO YALIYOANDALIWA NA TAASISI ZA KIJAMII ZINAZOTOA HUDUMA ZA MWITIKIO WA UKIMWI BUNGENI JIJINI DODOMA

V25A0278

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akiongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Iringa, Mhe. Rose Tweve wakielekea katika Upimaji wa Virusi vya Ukimwi (VVU) …

Read More »

RAIS MAGUFULI AMANI NDIO KILA KITU

t (57)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa  TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo  Juni 21, 2018 ……………… Na …

Read More »

GAVANA BENKI KUU MGENI RASMI LUGALO OPEN

????????????????????????????????????

Na Luteni Selemani Semunyu, JWTZ Gavana wa benki kuu Profesa  Florens Luoga anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya wazi ya golf Gofu ya Tanapa Lugalo open yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Juni 22 katika Viwanja vya Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania wa Lugalo Jijijini Dar es  Salaam. Hayo …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION

t (51) - Copy

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali  toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu …

Read More »

KAYA MASIKINI 90,720 MKOANI TABORA KUNUFAIKA NA MAJIKO BANIFU

2

Meneja wa Kanda ya Magharibi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)Valentine Msusa  wakati akitoa ufafanuzi jana kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwenye shati  jeupe) matumizi ya majiko banifu waliopatiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kupitia TFS kwa ajili ya kaya masikini. Meneja wa Kanda ya Magharibi wa Wakala wa Huduma za …

Read More »

WAGONJWA 15 KATI YA 20 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU YA MOYO INAYOENDELEA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE

Picha no. 1

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi  upasuaji wa kurekebisa mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu zote za mwili (Aortic Aneurysm Repair) …

Read More »

WANAMUZIKI NCHINI KUTEMBELEA BUNGE WIKI IJAYO KUPITIA TAMUFO

1

Rais  wa Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO), Dk. Donald Kisanga, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Tamufo, Morocco Dar es Salaam jana wakati wa  kujadili masuala mbalimbali ya umoja huo pamoja na safari ya baadhi ya wanachama wa Tamufo kwenda Bungeni Dodoma. Mhandisi Abdallah Ally kutoka  …

Read More »

HUDUMA ZA MBUNGE WA CHALINZE SASA KUPATIKANA LUGOBA

IMG-20180619-WA0088

Mbunge wa jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete (kulia)akiteta jambo na Mkurugenzi wa halmashauri ya Chalinze Edes Lukoa (wa kwanza kushoto)na Katibu wa mbunge huyo Iddi Swala ( mwenye shati la kitenge) wakati alipokwenda kutembelea jengo la ofisi yake iliyoteketea moto na kusababisha hasara ambayo bado haijajulikana Mbunge wa jimbo la …

Read More »